Simu.

Simu.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Habari wadau! naomba ushauri juu ya aina ya simu ya kununua napenda tecno lakini zipo aina nyingi! je nia gani nzuri na ya bei nafuu. napenda sana internet nk.
 
Kama unapenda internet nunua Samsung Galaxy Note 3 au kama fresh Blackberry z10 zote LTE.
 
Habari wadau! naomba ushauri juu ya aina ya simu ya kununua napenda tecno lakini zipo aina nyingi! je nia gani nzuri na ya bei nafuu. napenda sana internet nk.

Tafuta Techno Phantom Aplus... Ni 450 tu uwezo mkubwa sana itakufaa. Google upate details zake
 
Habari wadau! naomba ushauri juu ya aina ya simu ya kununua napenda tecno lakini zipo aina nyingi! je nia gani nzuri na ya bei nafuu. napenda sana internet nk.

mimi nauza samsung galaxy y pro.... b5510 kwa laki na nusu tu... inatumia screen touch na keypad iko poa sana kwa internet speed ya ukweli
 
Habari wadau! naomba ushauri juu ya aina ya simu ya kununua napenda tecno lakini zipo aina nyingi! je nia gani nzuri na ya bei nafuu. napenda sana internet nk.

Tecno P3 ni affordable na ni bei rahisi sana,unaitoa bikra mwenyewe kwa laki na nusu ina android os ambayo ni sawa na hayo magalaxy ya bei mbaya
 
Mkuu nakushauri kama uwezo unao nunua htc one x nimeikubali,hata kwa chaji nzuri sana sio kama smartphone nyingine, Xperia z1 ya ukweli pia, ila Samsung mtanisamehe sizifagilii kabisa
 
Ipo s3 na bbz10 nitafute 0713422826
 
Attachments

  • 1385157534607.jpg
    1385157534607.jpg
    70.5 KB · Views: 82
  • 1385157565389.jpg
    1385157565389.jpg
    52.7 KB · Views: 89
sasa mnapomshauri anunue misimu ya gharama yote hiyo amewambia kama uwezo anao?? namshauri afunguke ana tsh ngapi kwanza',yawezekana uwezo wake ni nokia ya tochi
 
Back
Top Bottom