Heri ya Mwaka mpya JF. Nipo Mwanza. Naomba mwenye uzoefu na biashara ya simu toka Nairobi. Nataka kufanya biashara hii sina mtaji mkubwa ila nataka kuanzia hicho nilichonacho. Ikiwezekana nijue...
wana JF baada ya kuwepo kwa vingamuzi vingi nchini sasa nahitaji hki cha azam nikijaribishe naomba kwa wenye kujua vinapatikana wap maeneo ya Mbez-temboni kimara au maeneo jirani siihitaji kwenda...
Ipo mtaa Buswelu "b" nyashosha fika kwa derva Brumo muulize akuelekeze mmiliki ndugu Juma Mwamsaga(mgosi) ni jirani na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ilemela jijini Mwanza.ni ya block mpya muundo wa L...
Nina NGO yangu inaitwa Changamoto Youth Development Organization,bado ni changa hivyo nahitaji msaada wa kupata wafadhiri watakao nisaidia kuiendeleza,najua wadau wa Jf wapo wanamiliki NGOs na...
uhuru poultry Farm, is a very fast and growing company located in kimbiji, kigamboni - DSM 35 km from state house (ikulu)....
Anahitajika marketier (sales and marketing manager/officer ) mwenye...
kiutu uzma zaid nikupe used tecno m3 matata mpya but imetumika 5 months 2gb internal memory 8gb external memory.... android version 4.2.2 rang nyeupe ... USB cable+cover bei 100000 tu na risit...
Kiwanja kipo upande wa bahari,dakika 10 kutoka barabara kubwa. Umeme upo jirani,mitaa imejipanga vizuri kwa ramani. Kimepimwa, kipo flat. Mwenye nacho ni mimi hakuna dalali. P.M ukitaka maelezo zaidi
Ni kampuni imesajiliwa, inajisusisha na business za bidhaa na consultancy services. Tunaweza kutafuta na kusupply kwa mteja bidhaa yoyote halali, popote tz, sisi tupo mby mjini, usihangaike tupe...
habari JF
Nyumba inapangishwa ni servant quarter - 1 room, toilet, small sitting room - bei maelewano. inafaa kwa mtu asiye na familia, wanafunzi na wenye kazi za muda.
kama uko serios ni PM
Heavy Duty Skeleton Trailer, ROR Axle,Drum Brake, Air Buster, SuperSingle Tyres, Zimelipiwa Full Ushuru, Zimepigwa Rangi, Zipo tayari kwa Kazi, Hazijafanya Kazi Tanzania, Kwa Mawasiliano zaidi...
1999 Sliding Skeleton Trailer, 14 Containers Locks,Drum Brakes,SuperSingle Tyres, Zimelipiwa ushuru zote, hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, zote zipo Vikindu kama unataka kuziona, Kwa...
Toyota Will Cypha
Sio lazima kila kitu details,
kama upo serious unataka gari isiokula sana mafuta na kwa safari rahis za mjini hapa hii gari inakufaa.
Bei 6mil
Kwa wateja serious nitafute...