Eneo kwa ajili ya shule

Eneo kwa ajili ya shule

teachers' junction

Senior Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
122
Reaction score
9
Habari za mwaka mpya wa jf.
Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya Awali na Msingi.
iwe jijini Dar.
+255753-810857
 
teachers‘ junction;8256439 said:
habari za mwaka mpya wa jf.
Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya awali na msingi.
Iwe jijini dar.
+255753-810857

project/business plan ya hiyo shule unayo? Ni vema ukawa nayo au kama vipi tupe kazi tukuundalie, ndani yake ndio tutapendekeza na school location yake na upatikanaji wake, kisha kuprocess usajili na mengineyo. (just a proposal to work on behalf)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom