Natafuta LED monitor kuanzia inch 20, brand yoyote iwe na port za HDMI na DVI. Weka na bei
Dell all in one desktop. Inch 23.... Tshs 600,000/=
Sijakufahamu mkuu weka bei nijue kwani mimi naweza kukutafutia nikanunua kwa pesa zangu nikakutumia used kutoka ulaya nakaa Swiss e mail yangu ni hii (mr.valicha_12@hotmail.com) fanya mawasiliano kama unahitaji tuangalie vipi tufanye
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us