Nyumba inauzwa

Mwamson

Senior Member
Jul 3, 2013
187
225
Ipo mtaa Buswelu "b" nyashosha fika kwa derva Brumo muulize akuelekeze mmiliki ndugu Juma Mwamsaga(mgosi) ni jirani na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ilemela jijini Mwanza.ni ya block mpya muundo wa L ina vyumba vitatu vya kulala na sebule mbili(chumba na sebule,chumba na sebule,chumba pekee na choo na bafu) kiwanja hakijapimwa lakini kipo eneo la makazi.haijawekewa milango na madirisha BEI NI TS 15M,piga 0753533333.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom