Habari wakuu. Nawatakia nyote kheri ya mwaka mpya.
Mimi ninahitaji chumba self maeneo ya Kimara , liwe eneo la karibu na barabara, kodi isizidi Tsh 100,000/- kwa mwezi. Nipo tiyari kulipia kodi...
Habari za leo.
Mashine seti nzima ya kutengeneza vijiti vya meno (toothpick) na vya kuchomea nyama(skewers) inapatikana.
Zimetumika kwa miezi michache.
Zipo Bagamoyo karibu na shule ya Baobab...
Habari za leo wakuu,
Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu...
TAARIFA: AC IMESHAUZWA
Habari zenu
Nauza ac inafaa kwa chumba size sq 14 hv maana imefungwa bado haijafunguliwa inafanya kazi. Ni kuja kuwasha kuhakiki na kama una fundi wk mnaifungua na kuondoka...
Kama unahitaji kutengenezewa website ya Biashara yako au website mbalimbali kama za mziki, movie, kubet, social media na vingine vyote. Wasiliana nami 0692782826 malipo ni baada ya kazi
Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles.
Km 4 kutoka Morogoro road.
Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu
Ukubwa eka 8
Pote milioni 12
Panafaa kwa kilimo na ufugaji
Habari wadau, kwenye ukurasa huu kila siku nitakuwa nikikuletea magari yaliyoko sokoni (yanayouzwa) yaliyotumika Tanzania na nje. Pia kama una gari yako unauza usisite kuwasiliana nasi kwa namba...
Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.
Nanunua mitungi yote...
[emoji95]VIWANJA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO[emoji95]
UMBALI
[emoji3502]Km 22.6 kutoka Ferry.
[emoji3502]Km 24 kutoka kigambon Darajani
[emoji3502]Kutoka Kibada Center ni kilomita 15 hadi site
SIFA...
MABALO YA MTUMBA YA CAM STORE CREAM NA GRADE A TU 0712163738/0762212623
1. Balo la magauni marefu Shifonie 750000 Dubai,850000 Canada PC 140+yote cream
2. Balo la magauni mix mafupi 580000 China...
Ipo Mbweni Beach.
Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, store, sebure
haijakamilika, imeezekwa kwa vigae, madirisha ya mbao + nondo yamepachikwa.
Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa sqm 800...