Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

uza cm android kwa bei tajwa hapo juu
1 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu hiyo tab inauzwa...details zake ni kama ifuatayo android-4.2.2 processor-dual cal, ram-1536mb, colour-white, ina wifi,3g na inatumia micro card(line ya kukata) ipo kwenye hali nzuri sana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Harrier isiwe chini ya mwaka 2004 Nissan x-Trial isiwe chini ya Mwaka 2004 Noah isiwe chini ya Mwaka 2006 Ipsum Isiwe chini ya Mwaka 2006 au Wish nayo isiwe chini ya Mwaka 2006 Nataka Gari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MMAMBE PHONE ACCESSORIES AND REPAIR kama wewe ni muuzaji au mnunuzi wa jumla na rejareja wa vifaa vya simu naomba tuwasiliane,0684810703
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta toyota land cruser ya kununua sio coil kwa kuwa bajeti yangu ni ndogo kama kuna mwenye nayo ani pm.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau Nyumba ya kupanga inahitajika ikiwa na vifuatavyo 1. 2 Bed Rooms - One should be master 2. Sitting/Dining Room 3. Bath/Lavatory Room 4. Umeme wa kujitegemea - No sharing Luku 5...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunapokaribisha mwaka mpya 2014 ni vyema pia kupanga mambo mengine upya na kuyaweka katika ubora ili kuweka tofauti kubwa kati ya yale tuliyoyafanya mwaka uliopita na yale tutakayoyafanya mwaka...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari zenu akina dada,nimewaletea viatu vizuri sana vya kike kutoka UK,kuna aina tofauti kwa ajili ya ofisini,mitoko na mizunguko ya kawaida mjini,bei in tsh 65,000 NB:flat shoes ni tsh 45,000...
1 Reactions
12 Replies
10K Views
Natafuta LINE ya UWAKALA ya TIGO PESA Kwa yeyote anayeuza au anayemjua mtu anayeuza , Bei nitatoa kati ya Tsh 350,000 hadi 400,000...Ni PM kama unayo tuongee biashara...!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inspire Consultants itaanza kutoa mafunzo ya CPA 1. Mafunzo yatafanyika WEEKEND NA JIONI (SIKU ZA KAZI). 2. Waalimu: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL EXPERIENCED STAFF 3. Venue...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nimepoteza iPhone 4 yangu (sijaibiwa). Na kwa vile ilikuwa imeisha charge nadhani kuipata itakuwa ndoto. NATAFUTA iPhone (4, 4S, 5) yenye gb 16, 32 au 64). Simu iwe nzuri na imara (siyo za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iwe sh 100,000/= 0715688433 Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Nauza king'amzi cha star times 60000 wadau wa mjengo huu, Anaye kihitaji 0786363332
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nauza uyoga nalima mwenyewe situmii dawa. Pact ya gram 200 kwa sh 2000tu. Ukichukua kuanzia tano unaletewa ulipo. Call or whatsapp no 0718412041
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Nauza pikpki aina ya fekon kwa bei tajwa hapo juu ila bei inapungua kwa ambae yuko siliac anipigie kwa no: 0657-610505 ili tufanye biashara ina miez sita tangu nimeinunua
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale watumiaji wa simu za blackberry kwa mara nyingine tena nina waletea simu tajwa hapo juu ikiwa na bei ndogo kabisa na fursa ya kuishusha bei hiyo una patiwa . Kwa sifa zake samahani tembelea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada mwenye nacho au anaefahamu vinapatikana wapi anisaidie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, nauza blackberry bold 9900 touch screen na keypad smartphone. Screen yake scratch resistant haikwaruziki hata uiweke na coin au funguo, camera yake ni 8MP inatoa picha safi na nzuri...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nipo dar es salaam, nahitaji at least iwe 32 inches a good brand na iwe mpya...contacts 0785168001 or pm
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani kwa mtu mwenye mkanda wa laptop 1420 anipigie simu kwenye no: 0717244446 nimehangaika sana huku moshi bila mafanikio kwa hiyo naomba tufanye biashara na watu wa mikoa mingine nadhani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…