CPA (T) Review classes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CPA (T) Review classes

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kmwemtsi, Jan 4, 2011.

 1. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inspire Consultants itaanza kutoa mafunzo ya CPA

  1. Mafunzo yatafanyika WEEKEND NA JIONI (SIKU ZA KAZI).
  2. Waalimu: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL EXPERIENCED STAFF
  3. Venue: BIAFRA
  4. Kuanzia: 11.1.2010

  For more information contact 0713707375
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Inspire Consultants Ni madalali au? maana inaonyesha yenyewe haina staff ila itatumia waalimu wa UDSM:whoo:
   
 3. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio Madalali Ezan, ila ni staff wa UDSM pia ndio waanzilishi na wamiliki wa Inspire consultants,

  Satisfied????
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Hapo Biafra kwenye Uwanja wa Mpira? Tunakuja na viti na Meza zetu?
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kama huyo kmweusi ndio mwalimu mwenyewe...siji.....
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Na jezi na mpira labda...CPA(T) Ndio nini kwanza?
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Kampuni ya kupika vyakula (I guess)
   
 8. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Njoo na jezi za mpira
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Unaishi dunia ipi broda?
  Any way ndio maana mmepewa na contact no for more info.
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ingawa umeanza kukejeli,haijalishi elimu lazima itolewe kwa wajinga wote duniani!CPA(T)=Certified Public Accountant in Tanzania,hiki ni kiwango katika profession ya uhasibu ambapo mhasibu akifikia kiwango hii maana yake amekubalika kufanya shughuli za kihasibu katika taifa husika.Hatua hii hufikiwa kwa kufanya mitihani ili kupima uwezo wa mwanafunzi kabla ya kumpa kibali cha kufanya shughuli za kihasibu!!
   
 11. dyuteromaikota

  dyuteromaikota JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2014
  Joined: Apr 30, 2013
  Messages: 3,189
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  mwaka huu vip?
   
 12. L

  LIBRARY JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2014
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu ukitaka vitabu ni-PM
   
 13. iDestSparta

  iDestSparta Senior Member

  #13
  Jan 5, 2014
  Joined: Oct 24, 2013
  Messages: 171
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Vya bure ntavileta soon
   
 14. TUTUO

  TUTUO JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2014
  Joined: Dec 3, 2013
  Messages: 1,885
  Likes Received: 956
  Trophy Points: 280


  kwa hyo yale mnayowafundisha chuoni mpaka wanagraduate hayatoshi mpaka muwafanyishe tena paper?
   
Loading...