Samsung galaxy tab 3 7.0 for sale...

Samsung galaxy tab 3 7.0 for sale...

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,692
wakuu hiyo tab inauzwa...details zake ni kama ifuatayo
android-4.2.2
processor-dual cal, ram-1536mb, colour-white, ina wifi,3g na inatumia micro card(line ya kukata) ipo kwenye hali nzuri sana
bei 680000...nauza coz nimenunua note 3..more details ukigoogle utapata..
seriuos buyer whatsup number 0767086777 kwa ajili yapicha na mengineyo...karibuni.
 
Nimeshindwa kuweka picha coz ya network wakuu....
 
wakuu hiyo tab inauzwa...details zake ni kama ifuatayo
android-4.2.2
processor-dual cal, ram-1536mb, colour-white, ina wifi,3g na inatumia micro card(line ya kukata) ipo kwenye hali nzuri sana
bei 680000...nauza coz nimenunua note 3..more details ukigoogle utapata..
seriuos buyer whatsup number 0767086777 kwa ajili yapicha na mengineyo...karibuni.

inauzwa 615000. mpya mlimani city muwe mnatembea madukani kwanza kabla ya kukurupuka. then 7" zinapata moto sana betri baada ya hapo inastuck. izo za ebay. amazon bei iyo labla upate boya.kila mtu mjanja siku izi. watu wanaagiza wenyewe. kupitia mtandao. ungekuwa na 8" ningekupa ela nzuri then gb internal ndogo. mashine 8" bana. nawakilisha
 
Asante kwa taarifa mkuu,...yangu ya taiwani mkuu, hata arusha zipo made by sumsang bei ni 500000...karibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom