NATAFUTA iPhone ya kununua

NATAFUTA iPhone ya kununua

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
158
Nimepoteza iPhone 4 yangu (sijaibiwa).
Na kwa vile ilikuwa imeisha charge nadhani kuipata itakuwa ndoto.
NATAFUTA iPhone (4, 4S, 5) yenye gb 16, 32 au 64).
Simu iwe nzuri na imara (siyo za Kichina) na bei iwe ya kibiashara, siyo mabei makubwa ya ajabu ajabu (unrealistic prices).
Pia nitahitaji msaada wa program ya ku-track simu ikipotea/ ikiibwa.

Call 0763718328
 
ImageUploadedByJamiiForums1388653901.103175.jpg

mkuu hiyo kioo chake kimepasuka kidogo nauza laki tatu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1388665420.832802.jpgipo iPhone 4 Black 16GB, ios 7.0.4,,, Factory Unlocked kwa 360,000/=,,Good Condition,,0783115545
Nimepoteza iPhone 4 yangu (sijaibiwa).
Na kwa vile ilikuwa imeisha charge nadhani kuipata itakuwa ndoto.
NATAFUTA iPhone (4, 4S, 5) yenye gb 16, 32 au 64).
Simu iwe nzuri na imara (siyo za Kichina) na bei iwe ya kibiashara, siyo mabei makubwa ya ajabu ajabu (unrealistic prices).
Pia nitahitaji msaada wa program ya ku-track simu ikipotea/ ikiibwa.

Call 0763718328
 
Me ninayo iphone 4s kwa 600,000 na iphone 5 kwa 750,000 iko ktk hali nzuri kabisa..!
 
Back
Top Bottom