Nahitaji Gari nzuri kwa wenye Yard

Nahitaji Gari nzuri kwa wenye Yard

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,379
Reaction score
13,195
Harrier isiwe chini ya mwaka 2004

Nissan x-Trial isiwe chini ya Mwaka 2004

Noah isiwe chini ya Mwaka 2006

Ipsum Isiwe chini ya Mwaka 2006

au Wish nayo isiwe chini ya Mwaka 2006

Nataka Gari Mojawapo kati ya Hizo...

Pia Nina Toyota Artezza ipo kwenye hali ya upya 51 km model ya mwaka 2000 bei Million 12 tu
 
artezza ndio gari gani
 
niPM mkuu kama unataka magari hayo nikuagizie haraka
 
niPM mkuu kama unataka magari hayo nikuagizie haraka

hivi mtu kama unafanya biashara halali kwanin usiweke wazi ili watu wajue? mnajiPM halafu mkitapeliana mnakuja kulaumiana himu.
TUNAOHITAJI MAGARI NI WENGI, UKIWEKA LIST YAKO HUMU UTAKUWA UMEWASAIDIA WENGI, ILA KAMA NI DALALI BASI Endelea kuomba PM
 
oky ngoja nijiweke wazi basi na mm siio dalali best pls

Back
Top Bottom