Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

nina design kadi za mialiko, business card, typing with very high speed and accurate bei sawa na bure. tupo kinondoni au piga 0716154531. tutakufikishia ulipo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji fremu ya stationery karibu na chuo au kituo cha basi nipm au 0716154531
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba zinauzwa moja ipo Sinza palestina nyuma ya msikiti karibu chuo cha sheria LAW SCHOOL UNIVERSITY tsh million 250 cash. Na nyingine Sinza A maeneo ya mlimani city!! tsh million 200...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu....nahitaji kununua pikipiki kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa!mwenye nayo ani PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali sana nahitaji kununua ikiwa mpya na niko Mwanza.Kwa yeyote mwenye kujua zinapatika duka gani na bei yake anijulishe.Si vibaya hata kama nikipata taarifa kutoka Dar,Nairobi ama Kampala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
simu tajwa hapo juu zinauzwa kwa bei rahisi y300 tsh 145000 na y210 laki na 30 tuwasiliane kwa 0785206252
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naitaji laptop kwa anae uza weka picha na bei
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wandugu tuwasiliane kwa0689994754/0655026738, kama unayo.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kichwa habari kinavyo jieleza nauza Samsung Galaxy S4 i9500 ni mpya kabisa bei ni 400,000/= kama Upo interested contact zangu hiz 0718905208
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Nauza power bank 5600mah kwa sh 40000/= pm kwa anayetaka. Kwa waliopo Dar ni free delivery
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Nauza nokia e72. Bei 135000 maelewano yapo 0713218388
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Simu hiyo inauzwa hainatatizo nabadilisha aina ya simu hii inamiezi 3 na nusu. 0717017820
0 Reactions
1 Replies
693 Views
jaman wanajamvi habar zenu. nina shida ya wimbo wa tenzi unaitwa mbele yake mwokoz wangu ila muimbaji simjui, japokuwa ni wa kike. naomben mwenye nao au anayemjua mwimbaji niburudike
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji fremu ya stationery karibu na chuo au stendi ya basi nipm au 0716154531
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inakubali whatapp, Facebook, twitter Skype nk bei ni sh 100,000 namba yangu ya cm ni 0717014960
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lipo wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro. Lina ukubwa wa ekari 100 na limepimwa. Kwa mbele limepakana na barabara kuu ya Arusha - Dar na kwa upande wa nyuma limepakana na Reli ya Tanga - Arusha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
E72 Nokia niko nayo na ndiyo hii ninayoitumia. Nataka niiuze ili niongezee hela nikanunue c7. Hadi Whatsapp ipo niliidownload. Ni nyeupe na ipo katika hali nzuri kabisa na ni original...
0 Reactions
7 Replies
992 Views
Je simu yako ni ya android? WeatherEye ni program nzuri sana kwa utabiri wa hali ya hewa. Kama simu yako ina GPS inaweza kutambua eneo ulipo na kukupa utabiri wa hali ya hewa hadi siku 10. Mi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Habari za jioni wakuu...!! #nilikuwa nahitaji simu kama itawezekana kuipata hata ndani ya wiki hii,especial jumamosi. Mm nitakupa tsh laki mbili (200,000) kamili pamoja na simu ya BlackBerry...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom