Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Location : Moshi, Kilimanjaro Bei 150000 Mawasiliano : +255621396850
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Inashona, inadarizi, inapiga zigzag n.k Mashine imekamilika na pedal zake Bei : 200000 Location : Moshi , Kilimanjaro Mawasiliano : +255621396850 Karibuni
1 Reactions
7 Replies
595 Views
Nauza simu yangu kwa shida za kifedha. Details kama internal memory ni 64 GB RAM ni 3GB Bei 190,000 Niko old moshi ...Moshi mjini Mawasiliano 0756294771....karibuni wandugu .........
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Mambo yakuzingatia Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
TVS DKS 1.35m Maelewano yapo Piga 0628 880 380 Iko poa sana Maelewano yapo, wahi hii offer kuicheki bureeee Engine haijaguswaa.
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa kimara Korogwe Kwa mkua njia ya kuelekea Tabata, Ina vyumba 2 vyote master maji yana flow ndani Ina sebule kubwa na jiko Gypsum na tiles mpaka chooni Kodi 200,000 kwa mwezi...
0 Reactions
1 Replies
534 Views
Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
MICHE YA MATUNDA YA MUDA MFUPI SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU TANZANIA FAIDIKA NA KILIMO CHA MATUNDA 🍎πŸ₯­πŸŠπŸŒ²πŸŒ΄ 🌴 MATUNDA NI CHAKULA 🌲MATUNDA NI DAWA 🍎 MATUNDA NI UTAJIRI Jipatie Miche Bora ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
toyota noah Bei:8,850,000 Mwaka: 2003 Aina ya Mafuta: petrol Umbali: km 116,003 Injini 1998 Transmission: automatic ,,,,,,,vimelipiwa vibali ac inafanya kazi vizuri na redio ipo powa Linapatikana...
0 Reactions
764 Replies
82K Views
Habar, Leo nimeamua kuwaletea habari njema kwa wale wanaopenda kununua gari lakini kipato chao au akiba yao haijafikia thamani halisi ya gari basi usihofu Miliki gari yako kupitia sisi kwa njia...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wadau, Ninatoa huduma za Usajili wa Makampuni BRELA A] usajili wa Jina la Biashara b] usajili wa kupata cheti cha kuzaliwa toka NIDA C] kutengeneza company profile na annual report d]...
4 Reactions
0 Replies
583 Views
Wakuu suura, Nahitaji used pool table isiyo na kipengere, iwe Mwanza, Katoro, Geita, Sengerema. Mawasiliano: 0756412380
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Toyota Harrier NEW model 🚘 *(EDG) Year 2010 ☎️0689-357-572 }whatsapp βœ… ☎️0768_041_126 }whatsapp βœ… Engine Capacity Cc 2360 Engine 2AZ Automatic gear Mileage 55,338km Full option Music Android...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kipo ukonga msimbaz miguu 28 kwa 58 kina mawe ya serikali yamtaa bei milion 6.5 maongez yapo umeme maji upo ni dakika 15 tu ufike gereza la ukonga yaan main road mawasiliano 0763932278 .
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi wanajamii, Nahitaji usafiri wa haya magari makubwa nataka kuchukua mzigo kutoka Kigoma kupeleka Kampala...
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari...
1 Reactions
0 Replies
711 Views
Habari wakuu, Infinix smart 6 inauzwa, Good Condition imetumika miez 3 tu! Inatakiwa laki moja na tisini chapu, Simu haina tatizo lolote lile. Nipo Tabata Kimanga, kwa mawasiliano zaidi No...
1 Reactions
2 Replies
697 Views
Vifaa vya ufundi Vyote 100,000 1)Spray gun ya umeme 2)Jigsaw 3)Clamp mbili za ukubwa wa 50*200 Mahali Dar es salaam Mawasiliano:0658 106 630
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sofa lina mwezi Bei 130,000/= 0716230633 Dsm nipo Karibuni maboss zang Simu ziite hatushindwani
3 Reactions
13 Replies
891 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…