Habari ndugu?
Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100.
Karibu Pm.
NITALIPIA
Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie.
Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe...
Natafuta connection ya wateja wa bata bukini, bata mzinga, kuku na kanga wa aina yoyote kwa jumla mwenye kujua soko au mahotelin anipe direction tufanye biashara pacent yake itakuwepo Wana jamii...
S 300 smartwatch
💶90000 tsh
⌚️Mikanda 7
⌚️Earpods
⌚️Protector
⌚️Unaweza kupiga n kupokea simu
⌚️Unaconnect kwa bluetooth
⌚️Inakuja complete n manual n charger
🏃🏽♀️Inafaa kwa mazoezi
📱unapokea...
Habari ya wakati huu ndugu zangu, je wewe ni mhitaji wa gari ya kutumia, au una gari na unauza ila hujui uipeleke wapi ili iweze kuuzwa kwa wakati? Basi usihofu Kampuni ya Joex Motors (T) Limited...
Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights.
Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo...
Viatu vya aina zote karibu uchague unachokipenda then ntakufikishia popote ulipo ndani ya Dar es salaam kwa garama zangu mwenyewe.
Kwa walio Dar es salaam nakuletea free na mikoani unatumiwa kwa...
Kwa anayehitaji Midoli ya Kuuzia Mawigi tuwasiliane. Ipo zaidi ya 20. Nauza sababu nimebadilisha biashara.
Nipo Goba Dar-es-salaam.
0713794962
bei ni 9000tsh kila mmoja
Je, unahitaji kampuni bora sana ya kusimamia tukio lako? Inaweza kuwa harusi, mahafari, mikutano, washa na tukio lolote linalohitaji usimamizi wa kina?
Basi usiwe na mashaka, kampuni ya Joex...
Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu.
Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye...
Toyota vitz Inauzwa milioni 6. Mazungumzo kidogo yapo.
Milango mitatu,
engine 1Sz
cc 997
Mileage 104771km
Android Radio (Screen)
Full AC
Ipo Dar Mbezi ya Kimara
0768882785
Update
Gari...
Nauza suzuki vitara namba D gar bado mpya tangu imeagizwa toka japan haijatembea sana
Gari ni ya mwanamke ni manual
sababu za kuuza: ni manual transmission yeye anataka automati
Location...
Wakuu habarini za muda huu,
Natafuta mtu au watu ambao wanafanya kazi katika sekta ya utalii,naomba unicheki inbox nina swala nahitaji msaada.
Nawakilisha