Kwa unayetafuta kiwanja lakini unakumbana na bajet zinazokuwa juu kuliko mfuko wako usiwe na presha! Nauza kiwanja changu kilichopo bagamoyo kiromo...kipo barabarani next to kiromo hotel yenyewe...
Hiyo ni bei ya kiwanja kilichoko jirani kabisa upande wa baharini, mkabala na magorofa mapya yanayojengwa eneo la Dege Kigamboni. Bei hiyo inajumlisha hati ya kiwanja (Title Deed) itakayofanyiwa...
Kwa wale wanaosafirisha mbaazi kutoka mikoani kuja DSM wasihangaike kutafuta soka kwa manufaa yao.
BM IMPEX ndio mkombozi wako.
Uza mbaazi kwa bei nzuri na yenye manufaa kwako.
Mawasiliano...
Habari wakuu....nahitaji samsung s3
nina tsh laki 2 ila nitakupa na Tecno phantom A plus (A+) bado mpyaaa...nakupa na all ts accessories.
kama unahitaji tufanye biashara ni PM au nitafute kupitia...
Kuna mpangaji kapata uhamisho wa ghafla kwahyo anahamia sehemu nyingine na alishalipia kodi ya miezi 5@60000.
Chumba single room,ceiling Board,Umeme na maji yanapatikana hapo hapo.Kipo...
RAV 4, MODEL JT172SC,UK MODEL,WHITE STATION WAGON,121163KMS,PETROL,RIGHT HAND,VERY GOOD TYRES,POWERFUL CAR SUBWOOFER MUSIC.
Milioni kumi na mbili 12,000,000
PM kwa mazungumzo tafadhali
Kiwanja kipo barabarani bagamoyo karibu na KIROMO HOTEL.. kina ukubwa wa 20*20 (hatua) umeme na maji vipo karibu na gari inafika mpaka kiwanjani...watu wamejenga (uzunguni)..nyumba ya vyumba...
Wana jf nawasalimu nyote na kuwatakia a good weekend...nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa wenye kujua mambo ya hisa za NMB. Nilinunua hisa za NMB wakati nikiwa mwanafunzi mwaka 2007 zilikuwa...
Habari zenu?
Ninauza Nissan Pick up, ya mwaka 1989,capacity yake 2 tons, inatumia Diesel.watu watatu wanakaa kwenye kibini ya dereva.
Ipo tu imepaki nyumbani na ipo kwenye hali nzuri zaidi ni...
Unlock Iphone Free 4 - 5s works as standalone application from your desktop.
Who uses a cheap copy? When the original does the same thing for same price !
For risks and side effects ask your...