mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Ni Toshiba Satellite, ilikuja na Windows 7 now nimeiweka Windows 8.1, RAM 4gb, 460gb HardDisk, Intel core i3,
Sababu ya kuiuza nataka kununua nyingine yenye specification kubwa zaidi.
Nimeitumia kwa miezi minne, bei kuanzia laki 5.5 kwenda juu (utajipendelea mwenyewe ukishaiona physically na kujiridhisha kwa kuiangalia, ukiamua kuniongezea zaidi ya hapo sawa ila haishuki.)
Nipo Kahama kwa sasa ila tarehe 6 mwezi huu ntakuwa Dar es salaam.
Karibuni