Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nipo chuo kimoja hapa nchini,natafuta wakala nitakayechukua computer kwake nakuziuza hapa chuo.kama upo ready,ni pm tuzungumze
0 Reactions
4 Replies
1K Views
iwe makonde mbezi beach at least vyumba viwili kwa 200,000 hadi laki 3
0 Reactions
0 Replies
892 Views
ipo kwenye good condition na haina tatizo bei ni milioni 6 inapatikana vikindu nje kidogo ya dar es salaam nicheki 0688 206680 whatsapp me kwa mapicha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natafuta wanunuzi wa asali kwa jumla nina lita 500 za asali
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji gari aina ya noah kwa ajili ya kwenda Mikumi na kurudi Dar.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza external HDD ya transcend ya 1TB, imetumika iko kwenye hali nzuri bila tatizo. Kwa more info nichek at 0717301520
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wakubwa , PC yangu nauza ni aina ya samsung yenye ram 2GB , Hard disk 500GB. nimemaliza chuo kwa sasa sina kazi nayo ni nzima iko vizuri nilinunua mwaka jana DECEMBER kama uko tayari ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu naitaji gari aina ya noah kwa ajili ya kwenda mikumi na kurudi dar....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa ft 50 x 50 eneo la Mbagala Maji Matitu. Kiwanja kipo umbali wa 1.3km kutoka barabara ya lami inayoelekea Mbande na Chamazi ambayo kwa sasa inapanuliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello, Natafuta Macbook Air. Kama unayo ipo kwenye hali nzuri na ina reasonable Price naomba uni-PM. Specification ikiwa na HDD ya 500+ na RAM ya 4+ itakuwa poa, Otherwise unaweza kunicheck tu...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
kwa wale wakazi wa ARUSHA mnaoplan kujenga gorofa mwisho wa mwezi huu nina mnada nauza mbao za 6 by 1 za kupiga botton na kuzunguka lenta bei ni maelewano jiandae kwani nauza kwa bei poa nimeona...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau nahitaji full ps 2 chipped inayotumia flash na cd bajeti yangu 100k(laki moja) napatikana dar mbagala NB; dau linaweza kuongezeka kidogo kutegemea na hali ya mzigo nicheki 0688 206680
0 Reactions
4 Replies
964 Views
Wadau nahitaji nyumba ya kupanga iwe Morogoro mjini maeneo ya Mazimbu. Iwe na vyumba sita. Au kama vitapatikana vyumba 3 kwa pamoja pia nitavihitaji.
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Ipo kwenye hali nzuri ni kama mpya hdd 250 ram 2gb webcam inakaa na chaji kwazaidi ya masaa matatubei ndio iyo laki 330 atakaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0716628257 kama namba aipatikani tuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za saa hizi? Nawaletea habari njema ya kuuzwa kwa eneo lililo karibu na chuo kipya cha S.T. Augustine Vikindu. Ukubwa wa eneo hilo ni heka 13 na kila moja inauzwa kwa sh. Milioni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je unataka kujiajili kama jibu ni ndio basi karibu Starlink IT Consulltancy upate mafunzo yafuatayo. Graphic designing Training. Website designing Computer applicatuion Training Logos Billboards...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Utanipa simu gani inayo support whatsapp..kama unayo nitafte 0714342650
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mwenye gari tajwa hapo juu ya ukubwa wa Fuso au Canter kwa ujazo wowote naomba ani PM nitamcheki. Kwa DSM itakuwa nzuri zaidi.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nauza simu Sony xperia m2 aqua mpya sh 500,000 mwisho 480,000 apple ipad 2 mpya sh 600,000 mwisho 580,000
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari! Natangaza jamani nauza unga wa muogo ,kwa jumla na rejareja. ni mweupe mzuri kwa ajili ya afya njema. unaweza ukapikia ugali na ni substitute ya unga wa ngano. Nipo kibaha .karibuni sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…