NATAKA LAPTOP YENYE SPECIFICATION
KAMA HIZI
RAM 4GB
HDD500
PROCESS 2.5 NA KUENDELEA
CORE i3 na kuendelea
BAJETI YANGU NI TSH.500000/= Asante Karibuni Kwa PM Pia Or Any Thing.
Habari zenu wana jf, mwenye nayo vitz model 2000 nakuendelea no.b offer yangu 3.8m au no.c 5m ambayo iko safi body ndani no accident history. Vibali vyote vimelipiwa. Nitumie picha...
Nina gari Nissan Patrol ninahitaji kubadilishana na mtu mwenye gari ndogo,Nissan hii iko kwenye hali nzuri, kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana...
Naomba msaada wenu wandugu kujulishwa ni mahala gani hapa Dar naweza pata huduma ya Apple service kwa ipad, iphone au Ipod touch? kuna namna zinanizingua mpaka computer yangu ime corrupt...msaada...
Wadau kwa yeyote mwenye duka hapa Tanzania, ama kwa yeyote mwenye kufanya biashara ya viatu, Raba hizi tuwasiliane kwa bei ya jumla tu kuanzia pieces 10...
Bei ya chini kabisa, kina rangi tano...
Viwanja vinauzwa, Kigamboni kata ya kisarawe2. Mwasonga.
viwanja vya size mita za mraba 800, Umbali kutoka Kibada ni 19km, mbele ya Dar es salaam zoo,
BEI 7M Tsh.
CONTACTS 0788 670 803, 0713 635022
habari wakuu laptop inauzwa 340000tsh aina ya samsung hard disc 500 GB RAM 2GB ni nzima hajamaliza mwaka inauzwa kwa sababu jamaa angu ameitwa kwenye interview mwanza hana pes
Kwa anayehitaji mashine ya TRA (EFD machine) afike ofisini kwetu, tupo kariakoo karibu na hotel ya tansoma au office za tigo tawi la nkurumah (kituo cha basi cha goldstar, gerezani).
Ofisi zetu...
Nyumba iko nyakato - pembeni ya shule ya msingi gedeli,kiwanja cha nyumba ni 20 kwa 20,kuna kisima cha maji yasiyo na chumvi. Bei ni maelewano baada ya kuiona nyumba kwa watu wa mwanza.
Piga simu...
BODA BODA ZINAZOCHAJIWA NA UMEME ZINAPATIKANA SASA.
NI IMARA
ZINA GUARANTEE YA MWAKA MMOJA
UKICHAJI FULL - ZINATEMBEA UMBALI KATI YA KM 80 NA KM 100
HAZITUMII MAFUTA KABISA
ZIPO ZA ABIRIA WATANO...
Gari aina ya Nissan patrol inauzwa kwa MIllion 8, iko kwenye hali nzuri, au kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana.
Nitafute kwa 0763969066 kwa...
Nyumba ya vyumba vitatu,kimoja ni master,jiko,sitting,dinning,store,maji 24/7 ipo ndani ya uzio kodi ni shilingi 500000 kwa mwezi ilipwe ya miezi sita au 450000 ilipwe kwa mwaka. mawasiliano...