Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

HP Colour LaserJet 4730 MFP yenye hali nzuri sana kama mpya kabisa inauzwa. Bei ni 8M. Wasiliana kupitia tzscholars@yahoo.com
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu...video card nvidia geoforce gtx 670 2gb inauzwa bei 200k kwa anajua umuhimu wa hiki ninachokisema
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiliamali na kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiwaza kufungua biashara hii naomba kama kuna mtu ameshindwa kuiendesha aniuzie tuelewane bei.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna maeneo mazuri sana kwa makaazi,shule,mashamba,ufugaji,chuo zinauzwa yapo ilala Msongola ...wahi kuchukua ya kwako kipimo ni kuanzia 40ft kwa 50ft bei ni 2.5 milion unaweza kununua tani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kia anaehitaji sms 0719700543
0 Reactions
0 Replies
738 Views
The online remittance services established in 2013 by the People's Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd) in collaboration with a UK company called WorldRemit for the purpose of enabling Tanzanians in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kiwanja kinauzwa Tegeta Nyaishozi, jirani na Nyamachabesi Bar. Ukubwa ni sqm 800, bei ubwete meza ya mazungumuzo iko wazi. Kimepimwa na kina document zote za msingi. Kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Pikipiki aina ya fekon namba C ni yangu simu imeshindwa Kuupload pic ipo katika hali nzuri sana haijawahi kufunguliwa injini zaidi yakumwaga oil tu na nimebadilishwa tail la nyuma tu bei 900,000...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Njoo nikuuzie NOKIA ASHA 310 ambayo ni smartphone poa sana na ipo katika hali nzuri. Ni screen touch, na haina tatizo lolote. Mawasiliano 0768932789 au 0659528724. Karibu......
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Noah ya biashara inahitajika hapa hapa Dar es salaam mwenye nayo anisaidie kuniajiri niwe namletea hesabu kwa siku 30,000/= lkn makidhiano lazima yawepo zaidi namba yangu Ni 0714064767
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna viwanja vingi huku Mbezi beach mil 30 nakuendelea, pia hata maeneo ya Salasala mitaa ya benako ninavyo vingi sana huko ni bei chini ya mil 15 unapata ukubwa 30 *40 nakuendelea Mawasiliano...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
kwa ambaye anahitaji vitenge bei ya jumla ani pm
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa Mlio Mwanza nina Gari Toyota Carina namba C iko ktk hali nzuri Sana Nina Shida Muhim na kimfaacho Mtu chake Bei Ml 9 tu Sihitaji Dalali Alie Serious ani PM Kwa maelezo zaidi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hallo, Kwa kipindi hiki Shule zimefungwa, nahitaji tuisheni Center ya Physics na Chemistry. Naomba yoyote mwenye Kujua ni wapi naweza kupata tuisheni ya Masomo hayo Kuanzia December(08 December...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mwanasheria /napatikana 0/+255 657 740 797
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niwataarifu kuwa ninazo gunia 43 za vitunguu nimevuna wiki mbili zilizopita ni vile vya kuhifadhi muda mrefu. Nakaribisha wanunuzi wa Jumla. Namba ni 0715696920 au ni PM kwa maelezo ya ziada. Vipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji kontena, iwe 20 ft au 40 ft. inbox me please!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuku waliochinjwa wanapatikana Kisumu kwa bei nafuu sana.Yeyote ambaye angependa kununua wasiliana kwa nambari 0704 886 932
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Place an order for a slaughtered chicken and we will prepare them for you.We sell slaughtered chicken within Kisumu CBD. To place your order or for enquiries contact 0704 886 932
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…