Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina budget ya sh laki 3, kwa yeyote anaeuza smartphone used yenye specifications zinazoendana na hiyo bei anichek 0656406693
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wadau,nataka nunua samsung galaxy s2 original kwa wadau ninaweza pata kwa shilingi ngapi.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jipatie smartphone aina ya TECNO H6, imetumika wiki 3 tu na haina tatizo lolote. Inauzwa kwa shida binafsi za muuzaji, ipo Dar. Mawasiliano 0768932789 au 0659528724
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Iphone 4 ipo kwenye hali nzuri sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta Common Interface (CI CARD) kwa ajili ya TV yangu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imeshapata mpangaji wakuu, asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni Nyumba kubwa Kwa bei nafuu ina hati Na iko barabarani bei inaanzia milioni 25 maelewano yanaruhusiwa Kwa maelezo zaidi tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gari inauzwa 4.5m.Aina ya mitsubishi min cc 650.Automatic transmission & Very EConomy kwenye fuel consumption.Gari ipo mbeya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari! Natafuta masoko / wateja wa kamba za katani / kudu kwa bei ya jumla; Kamba ya mita 100 kwa piece 10 ni sh 15000, kamba ya mita 200 kwa piece 10 ni sh 30000. Kwa anayehitaji au anamjua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau !! Nauliza maduka ya vifaa vya maabala kwa shule Za sekondari hapa dar ninaweza pata wapi?? Nawasilisha Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hbari zenu wadau, nategemea kuagiza gari toka japan kwa kutumia kampuni ya BE FOWARD, aina ya gari Toyota PASSO ya Mwaka 2005,cc 990; CIF 2,183.Tatizo langu FORMULA YA TRA ndo sielewi mnaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mashamba matatu kila moja lina ekari 1. Yanapatikana Kata ya Visiga kituo cha madafu. La kwanza lipo kilometa 1 na nusu kutoka morogoro road, bei 3.5mil. La pili lipo kilometa 4 kutoka morogoro...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Mtaji wa TZS 80,000 Kwa mtaji wa TZS 80,000 tu utaweza kuigeuza simu yako kuwa mtambo wa kutengeneza pesa zaidi ya TZS 1,000,000 kwa mwezi na kupata huduma za bure za mawasiliano. Kwa habari...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
kiwanja kinafikika kwa urahisi kwa njia ya UDSM na makongo juu..kiwanja kizuri hasa kwa makazi. mawasiliano: 0755416980 au 0688354089
0 Reactions
25 Replies
3K Views
For sale in very good condition as new, complete with all accessories. Bei 480000. Call me on 0713 404014
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Kinahitajika kiwanja maeneo ya Mapinga.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu. Nahitaji plastic ngumu (plastic sheeting) kwa ajili ya kutengenezea light boxes za matangazo. Yeyote aliyenazo au anayejua zinapatikana wapi tafadhali anifahamishe.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wadau mimi ni mjasiriamali ninayekuza miche ya pilipili ukihitaji piga 0754583634
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni spea za gari za Toyota, Nisan,mistubish,nå Suzuki.Wapo ilala Lindi nå shauri moyo spea zetu tunachukua kutoka Dubai nå japani .gerentii tunakupa nå walio mikowani wanawwza kutumiwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Pata Toyota Mark II Kwa milioni 2 ipo hapa mwanza condition yake ni nzuri sana inahitaji betri tu.kama utahitaji nicheki Kwa 0788752672
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…