Arusha arusha

Arusha arusha

Marietta

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Kutakuwa na mkutano wa fursa ya biashara kwenye ukumbi wa New Safari Hotel kesho jumamosi(20/12/2014) saa tisa alasiri(15:00).
Kiingilio ni bure.

Kwa maelezo zaidi piga 0753499766
 
Imekuja siku mbaya.Nipo safarini kwenda Marangu kusalimia wakwe.Unajua tena wazaa chema lazima waenziwe.
 
Back
Top Bottom