Habari Njema sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali nchini Tanzania. FUNDRAISING SOLUTION & General ENTERPRISES tunauza vifungashio vya bidhaa vya aina na ujazo mbalimbali...
Ipo katika hali nzuri. Bei ni 4.8m haraka haraka kwa ajiri ya krismas
Nipigie kwa 0652622556 whats up0762474732
Engine-3s
Transmission -automatic
Cc-1900
Year of manufacture-2000
Km -90579
Wahi ofa maalum ya msimu wa sikukuu, tunauza kwa bei ya jumla na rejareja nguruwe mzima au kwa kilo.
Tunapatikana Kimara, Mkwajuni, Mwenge, Tegeta, Ilala karibu na club ya wazee.
Kwa mawasiliano...
kama basi huna smart phone nitafute nikuuzie kwa bei poa, msimu Huu wa sikukuu mpe Zawadi mpenzi,rafiki, au Mzazi,
Nauza smartphone aina ya YXTEL Yenye apps za Android, whatsup, instagram na...
Sifa:
- Kiwe kimepimwa kiwe na offer au hati
- Kiwe na ukubwa kuanzia sqm 1400 ikipungua kidogo sio mbaya
- Offer price 18m± kutegemea na sehemu kiwanja kilipo
Ni-PM kama unacho au kama wewe ni...
Naomba msaada wa kupata chumba cha kupanga kwa ajil ya mdogo wangu anaetarajia kuanza masomo ktk SHULE YA MTAKATIFU MAURUS (St.maurus chemichemi secondary)
chumba kiwe na umeme,maji na kiwe...
used, iko katika hali nzuri, screen haina scratch, 16gb internal memory, amoled display,
hii ni tmobile version la galaxy s1.
unapata simu na charger.
fast deal, ni pm kama unahitaji.
Most of the Cloud Solution Providers extend Cloud services using HDD (Hard Disk Drives), This is mostly because HDD's are cheaper and hence the Cloud Service Providers will be able to enjoy more...
Zifuatazo ni aina za mbwa tunaouza bull dogs, germanshepherds, rottweiler, boerboels do barman. Nk contacts 0768638360 . Mbwa no mlinzi bora kuliko bianadam.
Yard ya Kufanyia biashara inauzwa ipo Kipunguni b, karibia na Moshi Bar au kwa Diwani. Ina sqm 1500, ina ofisi na fremu, imezunguzushiwa ukuta, ina kisima cha maji na umeme. ipo karibu kabisa na...
Siku ya jumanne SUPU YA MAWE nitakuwa hapo jijini Mbeya nikiwa na mzigo wangu wa aacounting software wa kutosha, ni ile ile software ya Quickbooks inapatikana kwa sh laki moja na ishirini tu...