Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta driver wa gari, Mwanamke au Mzee. Awe anakaa maeneo ya mbezi, Goba, salasala. Atakuwa anaendesha gari ya watoto wadogo. PM please.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Make: toyota,model:starlet,model no:E-E91,body type:closed top (saloon),colour dark blue,engene capacity 1330, fuel used petrol,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamn eee mwenye tv aina ya flat screen mtumba maeneo ya moshi mjini na maeneo ya kcmc kwa moshi kwa 150000 za kitanzania anitafute kwa e mail hii msellefreddie@gmaim.com
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pata elimu maana ni utajiri usiyo isha je, unahitaji kujifunza kiingereza cha kuongea na kuandika kwa wiki chache? Je, nyumbani kwako una watoto walio darasa la 4 hadi la 7 au form 1 hadi 4 na...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Natafuta tenda ya ku repair computer mashuleni, vyuoni, makampuni n.k. lakini maeneo ya Mkuranga, Vikindu, Mbagala, Mwandege na sehemu zote za Dsm. 1. Kuanzia computer 5 hadi 10 ni sh 80,000/=...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari gani? Ninahitaji mtu wa Data recovery ambae anaweza kuretrieve data kutoka kwenye external hard Disk iliyoharibika. Tafadhali kama kuna anaeshughulika na hilo ani PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nanunua king'amuzi cha Azam kwa mtu yoyote anaeuza.Kwa mtu anaeuza king'amuzi kwa sh 30,000 naomba ani pm ili ninunue as soon as possible. Napatikana Dar es Salaam
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ambae anadishi kubwa pekee au pamoja na vifaa vyake yaani receiver ,remote pamoja na (puk) awasiliane what's up 0752048709 nipo makambako njombe
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Habari wadau wa JF, Ninapenda kuwaataarifu wadau ya kua nauza website yangu kwa mtu atakae. kama unahitaji kunua website ambayo tayari ipo Established na ambayo tayari ina traffic nzuri basi Huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kinywaji cha asili kilichotengenezwa na gel inayopatikana ndani ya jani la alovela,inafanya kazi ya kuondoa sumu mwilini,inasaidia watu wenye presha,vidonda vya tumbo,kisukari,kupunguza aleji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iko katika hali nzuri haina tatizo lolote.. Ina 5mp back camera with flash na front camera pia inayo. Internal memory 4gb,512 Mb RAM
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Habari zenu wandugu. Kama kuna mtu anauza line za tigoPesa na Mpesa naomba tufanye biashara.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Canp site inauzwa iko Rombo Mashati; ukubwa wa eneo ni 86m by 86m, iko fully furnished. Bei ni Tshs 300million. Call 0754327452 for more details and photos
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za wakati huu. kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza watanzania wenzanguu juu ya ujenzi tunaouendesha kila siku,unaweza kuta mtu amejenga nyumba kubwa lakini imekosa ramani au mvuto...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Lg g2 used,haina tatizo lolote na inakaa na chaji sana..ninauza 450,000tsh
0 Reactions
7 Replies
992 Views
Hp probook 6460b core i3 14" @2.1Ghz,500GB HDD,4GB RAM 5Hrs battery, NEW condition Price:490,000/= 0659223322
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Wadau natafuta cd ya ps3 gta yoyote offer elf 25 kwa mwenye nayo ani pm
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Habari. Samahani zipo s3 mbili bei ni 300,000 kwa ya silver na 350,000 kwa nyeupe. silver internal memory ni 16 GB na nyeupe 32 GB. zipo katika hali nzuri unarusiwa kuziona kukagua ukiridhika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wanajf? Kiwanja kinauzwa kipo Kwamathias-Kibaha,Ukubwa wake ni 18X20, bei yake ni milioni 3 cash. Kipo umbali wa km 1-2 kutoka barabara kuu ya morogoro road.Kilipo ni sehemu ambayo watu...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Habar wadau, natafuta soko zuri la asali kwa dar es salaam, ninazo lita 400 za asali natafuta mnunuzi wa asali. Asali yenyewe ni kutoka Manyoni-Singida kama utakua interest ni PM tuongee biashara.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom