badspender1
Member
- Apr 22, 2014
- 74
- 6
Yard ya Kufanyia biashara inauzwa ipo Kipunguni b, karibia na Moshi Bar au kwa Diwani. Ina sqm 1500, ina ofisi na fremu, imezunguzushiwa ukuta, ina kisima cha maji na umeme. ipo karibu kabisa na barabara ya lami. Bei ni Tsh milion 70
Simu 0712859537
Simu 0712859537