MSAADA: Chumba cha kupanga Sumbawanga

MSAADA: Chumba cha kupanga Sumbawanga

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
877
Reaction score
981
Naomba msaada wa kupata chumba cha kupanga kwa ajil ya mdogo wangu anaetarajia kuanza masomo ktk SHULE YA MTAKATIFU MAURUS (St.maurus chemichemi secondary)
chumba kiwe na umeme,maji na kiwe karbu na shule hiyo...npo songea..Ni PM kwa mawacliano zaid
 
Chumba kiwe na umeme,maj na kiwe karbu na shule ya sekondary st maurus..ni pm kwa maelezo zaid
 
Kipo jangwani sio mbali na st Maurus 40000 chumba na sebure. HongerA kwa kuchagua shule nzuri mkuu
 
Naomba msaada wa kupata chumba cha kupanga kwa ajil ya mdogo wangu anaetarajia kuanza masomo ktk SHULE YA MTAKATIFU MAURUS (St.maurus chemichemi secondary)
chumba kiwe na umeme,maji na kiwe karbu na shule hiyo...npo songea..Ni PM kwa mawacliano zaid

Ni pm niko hapahapa Nakaa Christo Mfalme karibu na shule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom