Punguzo la bei ya Nguruwe/Kitimoto msimu wa sikukuu

Wahi ofa maalum ya msimu wa sikukuu, tunauza kwa bei ya jumla na rejareja nguruwe mzima au kwa kilo.

Tunapatikana Kimara, Mkwajuni, Mwenge, Tegeta, Ilala karibu na club ya wazee.

Kwa mawasiliano zaidi njoo PM.
Kama haikuhusu pita zako kimyakimya.
View attachment 212947
View attachment 212948

Sasa amakyasya hapa ulipoliweka tangazo lako ni mahali husika?Alafu unanikwaza kwa kuweka tangazo hili wazi ungebadilisha hata title then ndani uelezee kitu chenyewe coz me situmii hii kitu kwanini unanisababishia makwazo?
 
Last edited by a moderator:

Pole sana mkuu. Unataka title nibadilishe iwe inasomeka vipi? Suggest Title.
 
Last edited by a moderator:
Sasa amakyasya hapa ulipoliweka tangazo lako ni mahali husika?Alafu unanikwaza kwa kuweka tangazo hili wazi ungebadilisha hata title then ndani uelezee kitu chenyewe coz me situmii hii kitu kwanini unanisababishia makwazo?

Si kataja nguruwe we ulitaka asemeje

umewah kula ww ndo mana umefungua had ndan
 
Last edited by a moderator:
Sasa amakyasya hapa ulipoliweka tangazo lako ni mahali husika?Alafu unanikwaza kwa kuweka tangazo hili wazi ungebadilisha hata title then ndani uelezee kitu chenyewe coz me situmii hii kitu kwanini unanisababishia makwazo?

Mambo mengine mezea na potezea.
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine Bana...!
Sasa hilo punguzo la bei ni Tsh ngapi kwa kilo?
Tupe physical address yako au namba za simu tukupigie.
Huko PM kwani tupo kwenye kutongozana hapa?
 
Sasa amakyasya hapa ulipoliweka tangazo lako ni mahali husika?Alafu unanikwaza kwa kuweka tangazo hili wazi ungebadilisha hata title then ndani uelezee kitu chenyewe coz me situmii hii kitu kwanini unanisababishia makwazo?
Title inajieleza wewe ulifikiri anamaanisha tende!
 
Kaka embu tutajie bei ya kilo na physical addres sili watu tujue na tujue tutajikakamua kivip
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom