Nahitaji kiwanja Gezaulole

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,995
5,814
Sifa:

- Kiwe kimepimwa kiwe na offer au hati
- Kiwe na ukubwa kuanzia sqm 1400 ikipungua kidogo sio mbaya
- Offer price 18m± kutegemea na sehemu kiwanja kilipo

Ni-PM kama unacho au kama wewe ni dalali

Thanks
 
sio dalali! ninacho kiwanja goba st joseph kina nyumba yakurekebisha ina umeme kiwanja kipo hatua tano kutoka hifadhi ya barabara! kama unahitaji na upo serious 0653992118
 
sio dalali! ninacho kiwanja goba st joseph kina nyumba yakurekebisha ina umeme kiwanja kipo hatua tano kutoka hifadhi ya barabara! kama unahitaji na upo serious 0653992118

Hatua 5 kutoka barabarani? Mkuu basi hicho ni mali ya tanroad
 
Hatua 5 kutoka barabarani? Mkuu basi hicho ni mali ya tanroad
mradi wa barabara unaendelea kutoka goba to massana tangibovu kama umetembelea huko utajua ninacho maanisha! kiwanja changu kipo distance kutoka kwenye jiwe la barabara yaani hakina matatizo ya aina yeyote na masuala ya barabara! upo interested ni pm ukajiridhishe or tumia hizo contact
 
Mimi in dalali kiwanja cha ukubwa huo kipo na vipo kama vitatu vina ofa na kimija no vocha .kama bado hujapata tuwasiliane 0755 099 291
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom