mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
Habari za wakati huu.
kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza watanzania wenzanguu juu ya ujenzi tunaouendesha kila siku,unaweza kuta mtu amejenga nyumba kubwa lakini imekosa ramani au mvuto machoni kwa gharama kubwa tu(mfano 20m) na mwingine amejenga nyumba yenye ukubwa unaoendana au unaofanana na huohuo lakini nyumba yake ina mvuto na gharama alizotuia na sawa na yule wa kwanza ambaye nyumba yake imekosa mvuto.
ukimuuliza huyu wa kwanza atakupa jibu rahisi sana kwamba alikuwa au hana hela kama huyu wa pili(lakini ikumbukwe gharama zilizotumika ni sawa kwa wote)..
ambaye nyumba yake haina mvuto
1.Alikurupika kujenga pasipokujua mfuko wake unasomaje(kiasi cha fedha alichonacho)
mfano serikali imemuondoa kurasini anaenda mahali fulani baada ya kulipwa anakurupuka tu kujenga bila kufanya au kufanyiwa mahesabu stahiki.
2.alikuwa na hela lakini hakupata ushahuri mzuri jinsi ya kujenga ikiwemo na ramani.
3.alikosa usimamizi wa kuaminika,penguine nyumba yake ilijengwa under remote control(simu na wawasiliano mbalimbali pasipokufika kwenye eneo la ujenzi)
KWA SABABU HIZO MIMI KIJANA WA KITANZANIA NITATOA ELIMU,NA USHAURI KUHUSU UJENZI IKIWEMO
1.Kukuchorea ramani ya jengo unalotaka kulijenga
hata kama ni chumba na sebure tu,nitakuchore kwa gharama nafuu ili uifurahie nyumba yako kwa muonekano wake mzuri
2.Natoa ushauri kwa nyumba zenye nyufa,rangi na matatizo yanayoendana na hayo
3.kama unahitaji usimamizi wa uhakika wa ujenzi wa nyumba yako,pia huduma hiyo naitoa kwa gharama za makubaliano
4.pia naandaa gharama za kujenga nyumba mpaka inaisha
5.pia nadesign garden au bustani
6.Najenga maswimming pull na mabwawa ya samaki.
yote hayo ninayafanya kwa kushirikiana na vijana wenzangu waliohitimu vyuo mbalimbali
elimu yangu:BACHELOR DEGREE IN CIVIL ENGINEERING
mawasiliano;0769454999