Wadau, kiwanja kinauzwa Goba centre, kina hati ambayo inasomeka kwa jina la muuzaji. Kina ukubwa wa sqm 750. Bei ni 27m meza ya mazungumzo ikowazi.
Kwa mawasiliano piga 0773 944 944
Ninauza sony experia arc s kwa 250,000, bado ni mpya kabisa na haina tatizo lolote. Pia kama tunaweza badilishana na simu nyingine iliyo nzuri na iwe kwenye hali nzur. Shuka hapa na aina ya simu...
SAMSUNG NOTE BOOK INAUZWA KWA BEI
NAFUU.
HARD DISK: 280GB.
R.A.M: 1GB.
PROCESSOR: 1.60ghz
PRICE TAG: 400,000/= Tsh
PLAYSTATION 2 + Game CDs + GAMEPAD
PRICE TAG: 200,000/= Tsh
CONTACTS...
hello wadau nakupa tecno d1 na pesa elfu 70 unipe cmu yenye uwezo mkubwa 4gb internal memory,1gb ram 5mp cmera nk napatikana dar nicheki 0688206680
NB;SIMU IWE NA GOOD CONDITION(NO SCRATCHES)...
Wadau nauza Acer A1 tablet,
Ni km mpywa kabisa nimeitumia kwa mda wa mwezi mmoja tu.
Sababu ya kuuza ni kuwa mm ninayo nyingine ninayoitumia.
Bei ni 300,000 tu!
Pm or contact direct 0714010511
kwa mwenye uhitaji wa receiver ya Qsat Q23g ani pm, imelipiwa CCCAM ya miezi mitatu, bei ni laki mbili (no more discount) receiver bado mpya na imetumika wiki 3 tu.
TELSTRA T81 frontier 4G mobile phone
Touch screen
Android smartphone
Wi-fi,bluetooth,fm-radio,stereo
5mega pixel camera zoom n front camera
Made in Australia
Price 210,000/= inapungua
Wahi sasa...
Mimi ni mtunzi na muimbaji mzuri wa nyimbo za kizazi kipya. Natafuta mdhamini anidhamini, kuanzia kurekodi n.k. Atayejitolea nitamruhusu anifanyie usahili kwa ajili ya kunipima uwezo wangu...
Hbr wana JF
nyumba ya makazi inauzwa Pungu kajiungeni (kona) ina vyumba vitatu vya kulala(ikiwemo master room) kila chumba kina choo chake
ina dining room,sitting room na jiko
nje imakisima cha...
We wish you all a very HAPPY CHRISTMAS and a HAPPY NEW YEAR from Datasoft Networks. We believe all our well-wishers and customers deserve our gift as a token of our gratitude for their tremendous...