Samsung Music System unauzwa laki 2 tu,bado mpya kabisa

Samsung Music System unauzwa laki 2 tu,bado mpya kabisa

nashindwa kupiga picha kwa sababu natumia simu ndogo ile ni mpya risiti ninayo na hata niliponunua naweza kukuelekeza.
 
Jitahd Ulete Picha Mkuu, Habari Za Kuuziana Mbuzi Kwenye Gunia Zishapitwa Na Wakati. Kumbuka JF inafika nanyumbu, msimbati, congo drc kule kibati hadi Viswa Vya New Jersey Alipoweka Hela Chenge! So Bila Picha Itakuwa Ngumu Kupata Mteja,
 
ha ha bila kusahau jf imefika mpk igumbilo kilolo dabaga mpka ikonongo.
 
Original au Chinese . . . ulinunulia duka gani hapa mjini na bei gani?
 
Original,nilinunua duka la Orange Technologies 250,000 na ina guarantee ya mwaka mzima
 
mi natafuta sony shake 7 kwa aliyonayo hata kama used. bajeti yangu laki nane.
 
Back
Top Bottom