Habari zenu nahitaji kiwanja maeneo ya Goba kisiwe mbali na barabara kuu, na kiwe kinafikika kwa urahisi, umeme uwe jirani, Bajeti yangu ni 6million ila naweza kuongeza kidogo kulingana na ukubwa wa eneo. ambaye yuko serious ani PM.
Picha za eneo na kiwanja
Kuna mtu kaweka pich hizi hzi akasema kiwanja kipo kinzudi, au Goba na Kinzudi ni sehemu moja?