albertt JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 339 Reaction score 78 Jan 15, 2015 #1 Nauza iphone 6 plus+ yangu nauza bei chee tuu mil 1.65 kama upo serious ni chek 0716385824 Attachments 1421320246806.jpg 72.4 KB · Views: 119 1421320273999.jpg 52.3 KB · Views: 106
chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,088 Reaction score 1,026 Jan 15, 2015 #2 Mkuu weka na bei kabisa ili tukipiga tujuwe kabisa uwezo upo ama lah,, tukipiga iwe ni makubaliano tu
Mkuu weka na bei kabisa ili tukipiga tujuwe kabisa uwezo upo ama lah,, tukipiga iwe ni makubaliano tu
albertt JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 339 Reaction score 78 Jan 15, 2015 Thread starter #3 Milion moja na laki 6
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,050 Reaction score 102,469 Jan 15, 2015 #4 chalii wa ara said: Mkuu weka na bei kabisa ili tukipiga tujuwe kabisa uwezo upo ama lah,, tukipiga iwe ni makubaliano tu Click to expand... hahaha si kataja, millioni moja na laki sita, kudadeki hafu weka mfuko wa nyuma wa jeans ikalie uone, #bendgate
chalii wa ara said: Mkuu weka na bei kabisa ili tukipiga tujuwe kabisa uwezo upo ama lah,, tukipiga iwe ni makubaliano tu Click to expand... hahaha si kataja, millioni moja na laki sita, kudadeki hafu weka mfuko wa nyuma wa jeans ikalie uone, #bendgate