Wahi ujipatie nyumba na Kiwanja Morogoro mjini

Mangi wa Rombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
207
Reaction score
148
Habari!
Je una wazo la kujenga ama kuishi morogoro mjini? Kama ndio ngoja nikupe dili...

Ipo nyumba yenye vyumba 6 (zile nyumba zenye vyumba kwa ajil ya kupangisha, bila sebule) na uwanja mkubwa kwa nyuma wenye ukubwa wa 625 square meters inauzwa. Nyumba ipo mtaa wa "Jikasi" kata ya "Kichangani" hapa mjini. Nyumba ina umeme na inafikika kwa gari.
Bei yake vyote kwa pamoja yani nyumba na huo uwanja wa nyuma ni Tshs 30mil tu.
Kwa mawasiliano tafadhali piga 0712075845. Tafadhali usibeep.
Ahsante.
 
1. Kuna hati (i.e. Title deed)?
2. Umiliki upoje (ni ya urithi, ya familia, hakuna matatizo ya umiliki, haina deni benki)?
3. In umbali gani toka katika hifadhi ya barabara?

Mwisho nitashukuru kama utaweka picha ili nijitathmini kabla sijakusumbua kwa simu
 
Ahsante,
Kiwanja kina hati miliki tangu mwaka 20Kinauzwazwa kwa sababu ya matatizo mmilikiiki hakunaumtafarukuuwalaaugomvimwowoteote.
Nyumba ipo kama mita 64 kutoka barabarani
Nilijaribu ku-attach pictures lakini nikashindwa but ukinichek kwa namba hyo ntakutumia whatsapibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom