Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Used s3 mini kwa 180 iko pouwa kabisa chek me 0719210905
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wakuu, kwa yeyote anayemjua mtu/anayeshughulika na kutengeneza mabango ya matangazo kwa ajili ya kazi/biashara/ofisi maeneo ya Arusha naomba anipm au anipigie kwenye namba +255-714-478-797...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf Nina shida na waya ambao nitatoa picha katika laptop au pc yangu na kupeleka katika tv ya kawaida ambayo inatumia waya za av.kama kuna mtu anayo aniuzie please kama hujanielewa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni muuzaji wa magari kwa njia ya mtandao used kutok japan na used mikonon mwa watu yako katik hali nzuri sana na ya kisasa kwa uhitaji wako piga simu 0656 43 66 62 karibun sana .....
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Msaada anaejua fundi anaeweza kurekebsha hlo tatzo.Fundi awe Dar,Moro au Arusha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dell , HDD 250GB,2.6GHZ,RAM 2GB,CORE 2,WIN 7 PROF 64 BIT,ADOBE CS6 MASTER COLLECTION Mouse&keyboard Monitor(Screen) nchi 19, ETC BEI Jumla 225,000/- 0769222882-Dar es salaam
0 Reactions
12 Replies
2K Views
-Kifaa hiki kitaalamu kinaitwa Voltage and Current Surge protector(VCSP) -Kifaa hiki kimejadiliwa sana katika jukwa la sayansi unaweza Kusoma HAPA -Kinalinda TV pamoja na simu za Smart zisiungue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu. Simu tajwa inahitajika aidha iwe mpya au iliyotumika. Pia simu husika iambatanishwe na vifaa vyake vyote muhimu ikiwemo power cable na earphone. Offer yangu ni...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Ni muuzaji wa magari kwa njia ya mtanao magari yaliyo tumika japana na yanayotumika hapa nchini yapo katik hali nzuri kwa mahitaji na mawasiliano piga 0656 43 66 62
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inatumia line zote, imetumika miez mi3 tu, haina tatizo lolote Bei ni 150,000 tu, anayehitaji apige 0785541040
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu cm tajwa hapo juu zinauzwa zipo.katika hali nzuri kabisa tekno ni mpya kabisa na samsung dous ndio hii natumia asante sana ndugu zangu!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni vifaa vya studio ya kurekodia muziki, ni full set, ukichukua tu, unaviweka na kuanza kurecord vifaa vyake ni Studio Monitors-M Audio Bx5a, Mid Keyboard ya M Audio-Oxygen 61 keys, Digital Mixer...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nahitaji monitor ya computer ya inch 15 au 17 ya flat bei yangu ni 60. Nipo Arusha PM
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenye kuwa nalo,nichek kupitia pm,nipo dar.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshma kwenu wakuu,simu tajwa hapo juu ninaiuza kwa bei ya sh 150000 top price anaehtaji apige number 0714061310 serious buyers only,simu nimeitumia mwezi mmoja tu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu meltal ditector inauzwa million tano. ni kifaa ambacho hutumika kugundua gold ardhini. kama kunamtu anaitaji anaweza pm.
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Mdau yeyote mwenye kuuza au una jamaa/ndugu anauza Noah tuwasiliane au ni inbox tulonge, but kumbuka iwe vyema si juu ya mawe.
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Kwanza tambua hakuna ugumu woowte wa wewe kuhama kutoka blogspot kwenda dot.com pili uwe tayari kuhama kwa maana ya kuwa tayari kulipia gharama husika ya kununua domain pamoja kuhost. Domain...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Epson photoprinter aina ya PX 660, P50,L800 nna cash 350,000 iwe na mitungi ya nje ya wino ncheki 0755 91 49 77
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ipo wilaya ya ilaala tabata kimanga umbali wa mita 600 kutoka kimanga stendi mkabala na soko la kimanga, ikitenganishwa na uwanja wa mpira. nyumba ina vyumba 7. kwa mawasiliano zaidi piga simu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…