Godoro 5by6 inch8 to 10 linahitajika

Godoro 5by6 inch8 to 10 linahitajika

najarib kutafakari shida yako
-godoro tu la vipimo ivo
-competitive price ya godoro ilo
-something special kwenye ilo godoro
-home delivery ya ilo godoro
-godoro ambalo halipo kote madukani
-godoro used
sijafaham lengo lako ni lipi?
 
Godoro used
najarib kutafakari shida yako
-godoro tu la vipimo ivo
-competitive price ya godoro ilo
-something special kwenye ilo godoro
-home delivery ya ilo godoro
-godoro ambalo halipo kote madukani
-godoro used
sijafaham lengo lako ni lipi?
 
Ukishazoea mitumba ndiyo tatizo hilo.Wakati godoro 5×6, inch 6 original Tanform dukani ni 150,000/= hadi 130,000 unapata.
 
Hi ya leo kali, mtu anatafuta godoro JF..
Duh hii hata online shopping sijawahi ona godoro used
 
Hi ya leo kali, mtu anatafuta godoro JF..
Duh hii hata online shopping sijawahi ona godoro used

kwa sababu jf kuna punda si binadam au? Au kwa sababu linatumiwa na sisimizi,si ndio? Ww kama huna si unakausha tu.
 
kwa sababu jf kuna punda si binadam au? Au kwa sababu linatumiwa na sisimizi,si ndio? Ww kama huna si unakausha tu.

We umekaa JF toka 2010 ushawahi kuona mtu anatafuta humu godoro kweli?? Come on man!! it simply doesn't make sense
 
We umekaa JF toka 2010 ushawahi kuona mtu anatafuta humu godoro kweli?? Come on man!! it simply doesn't make sense

wrong myth..sasa hawa watu wanao ni pm ni punda au? The point when you feel you are wise is when ur growing fool.
 
Back
Top Bottom