Salaam Wadau
Toyota Carina Ti 1490cc, rangi nyeupe ya mwaka 1999 inauzwa ipo Dar (Nimeambatanisha na picha) kwa maelezo zaidi piga namba 0787627437 au 0769096861.
PHOTO ENTRY KWA SHILINGI 500/= TSHS KWA PICHA
Tunafanya photo entry kwa wote watakaohitaji huduma yetu, tutamaliza ndani ya dakika 10.
VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO NI
picha za wanafunzi wako...
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLACKBERRY IPHONE 4,4S,5,5C,5S,6,6+NK
HUAWEI Y530,Y520,Y330,Y300,Y221,Y220,Y200 JUST FOR 9,000/= MPESA.(DAKIKA 15-45)...
Ninauza iphone 5 black and gray ya gb 16. Simu ni kama mpya...haina scratch wala dent yoyote.
Bei yangu ni 600,000
Kwa mawasiliano nitafute kwa 0763969066
Kama unahitaji frem ya kupanga Mwenge. DSM Opposite na TRA ipo. kwa mwezi ni 250,000 tu haipungui, frem ni kubwa kwa mamizi mbali mbali, napia kwa wale wanaoweza kufanya huduma na TRA mfano ya...
Tunao vifaranga wa asili na mayai ya asili. vifaranga wapo wa wiki mbili hadi miezi miwili. tupo morogoro mjini. kwa masiliano. 0769070257/ 0714 739914. karibuni sana
Habari zenu. Nauza kiwanja changu kipo Kisemvule. Kisemvule ni karibu na Vikindu kama unapita Kilwa Road.
Ukubwa wa Kiwanja ni:
Mashariki: mita 20
Magharibi: mita 18
Kaskazini: mita 29
Kusini...
Habari za Jumapili?
Naomba kwa yeyote mwenye ramani ya nyumba,VYUMBA VITATU,kimoja kiwe master bedroom,choo ya public,sebule,jiko na stoo.Nahitaji ramani iliyokamilika iwe full miundombinu yote...
Ndugu zangu,
Nimepoteza vyeti vyenye majina ya MARIAM PETRO NTOBI.
Ninaomba yeyote atakayeona cheti ama kitu chochote chenye majina haya, awasiliane na mimi kwa simu number +255 754290 au...
Jipatie kuku wa kienyeji, ni wa tamu sana kwa aina zote za mapishi kama supu, kuchoma, kukaanga n.k. Wana uzito kati ya 2-3 kg. bei ni kati ya 20000-35000. Kulingana na uzito. Napatikana Kunduchi...