pozzyfaza
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,453
- 268
Nauza vitu vya Ndani narudi Dar kikazi kama utahitaji unaweza kufika ukaviona
Niko mbeya mjini Maeneo ya Iromba
Kuna Sofa,Meza ya kioo, Kabati ya vyombo ya Kichina.
Pia Nyumba kwa Mhitaji atakayeweza nirudishia Code yangu Nimelipa miezi 6 nimekaa miezi 2.
Nyumba ipo ndni ya geti, uko mwenyewe, Ina maji, Inavyumba 3 kimoja ni Master.Seble kubwa, Jiko stor. Bei ni laki 2 kwa mwezi. 0754078015