mwana mpendwa
Senior Member
- Oct 6, 2012
- 171
- 21
Wapendwa bado natafuta chumba maeneo ya ubungo external na river side.
Chumba kimoja self chenye tiles kiwe ndani ya geti. Pia kisiwe mbali na kituo cha daladala
Chumba kimoja self chenye tiles kiwe ndani ya geti. Pia kisiwe mbali na kituo cha daladala