Jipatie Epson L210 Printer Mpya kwa bei poa. Wino ni wa nje, Ina scanner, copier na printer hapo hapo. Kwa maelezo zaidi na bei ni PM au piga 0754626616. Karibuni ipo Arusha na utatumiwa popote...
Imetumika miezi 4, ipo katika hali nzuri, nilikuwa naitumia katika studio yangu ndogo ya picha, kutokanna na usimamizi mbovu nimeamua kuifunga na kuuza kila kitu, kama utakuwa unahitaji kamera na...
Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia ya kuelekea Sweya. Kipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264
Shamba linauzwa Kiwangwa, lina ukubwa wa Ekari 10 lipo Mwavi Kiwangwa. Shamba lipo umbali wa km 7 kutoka barabara kuu ya lami ya kuelekea Msata. Bei ni tsh laki 7 tu kwa kila Ekari. 0712859537
Natafuta kampuni iliyosajiliwa kwa ajili ya kudai madeni sugu pamoja na kufilisi. you can send copy of your docs at raineryk@gmail.com or call me on 0659574107
Wakuu nina Hp slate 2 ni Tablet PC ambayo chaji yake imeharibika na nimejaribu kutafuta baadhi ya maduka nimekosa kwahiyo nauza(nipe ofa) au kubadilishana hata na simu au kama unajua duka...
Tunauza nguo za watoto za kike na za kiume,umri mwezi 1 hadi miaka15,zipo pens,surual,tshet,shati,gauni,sketi,pedo,skin jins,shortpens,blauz,tayt,bigmark,sweta,bebeo,na viatu pia vipo.
Tupo...
Nauza simu aina ya sony z2 Imetumika miezi miwili.
Rangi nyeupe.
Price 600,000
NETWORK
TechnologyGSM / HSPA / LTE
LAUNCH
Announced2014, February
StatusAvailable. Released 2014, April
BODY...