Why don't you establish your own?
its very hard better to buy
Very very hard at the momentits very hard better to buy
Very very hard at the moment
Kama kuzi"manage" wameshindwa hilo ni kosa la nani? Huo ndio URASIMU kila siku tunaulalamikia. Nilijaribu kufungua kampuni kufuatilia utaratibu ni vikwazo juu ya vikwazo. Kwenye majukwaa "Ooooohhh Wananchi mjiajiri". Inasikitisha sana. Hata Kuwa mshauri wa kodi napo wanaweka vikwazo. Sijui wanadhani kila mtu anataka kuwa mchuuzi.ndiyo kwa sababu hata zilizopo kuzimanage wanashindwa ndiyo maana kutoa kibali cha kufngua kampuni mpya ni ngumu... bora ununue ya mtu ila uwe makini pia kama anayo madudu ufanye utafiti wa kina la sivyo utanunua kimeo
kwa kukusaidia fika pale maeneo ya kamata opp na ilipokuwa di tidobi zamani kuna jengo kubwa la kioo pale kuna wakongwe hizo kazi wanakampuni yao nazani inaitwa ASG nazani wakuuzia mana wao wanailipia ila hawashugulika na hizo kazi wako bize na ishu mpya ila jipange kwa bei braza mana owner wa hiyo ni mswedenHello.
Iam interested on purchasing a company dealing with clearing and forwarding as soon as possible.
Call no:0715220036
Kama kuzi"manage" wameshindwa hilo ni kosa la nani? Huo ndio URASIMU kila siku tunaulalamikia. Nilijaribu kufungua kampuni kufuatilia utaratibu ni vikwazo juu ya vikwazo. Kwenye majukwaa "Ooooohhh Wananchi mjiajiri". Inasikitisha sana. Hata Kuwa mshauri wa kodi napo wanaweka vikwazo. Sijui wanadhani kila mtu anataka kuwa mchuuzi.
Ize mdau. we andaa na diposit ya milioni mia moja. halafu watatangaza siku ya mitihani yao ya registration. Mnunue mtu wa kukufanyia hiyo mitihani kwa amount not less than ten million non refundable. hata akichemka hairudi. Halafu andaa na nyingine kadhaa hivi za kuwahonga watu wa TRA ili kampuni yako ipite. Kama una hela ya maana mdau tuwasiliane hakuna kinachoshindikana mbele ya hela.