Tunatoa lock simu za tecno kama tecno h6 zinazotumia laini ya tigo tu kwenye sim1 kwa ajili ya wanaohitaji kupata 3g high speed
bei tsh 9000 tu tupo mjimwema stand mwembeni kigamboni 0715-387545
Ninauza iPad Mini mpya (sijaifungua kwenye box bado). Kama kuna mdau yuko interested tuwasiliane kwa PM.
Cash Tshs 650,000 kama mtu anahitaji kuinunua!
Kiwanja cha kujengea petrol station chenye ukubwa wa ekari 10, kina hatimiliki zote za ardhi, leseni ya Ewura, tathimini ya mazingira (EIA), kibali cha ujenzi, parking ya magari makubwa ekari 4...
Nina uhitaji wa pikipiki aina ya boxer used mkoani Morogoro, kwa wale wenye hio bidhaa na wanataka kuuza nipm unauza shilingi ngapi na specifications za hio pikipiki,
Natanguliza shukrani,
Habari wakuu,
Nina Volcano box ya kuflashia simu za kichina za aina zote bei ni laki 3
Pia nina UFST ya kuflashia Nokia, Samsung, LG, Alcatel, etc bei ni laki 3
Punguzo lipo kama utayachukua yote...
Habari!
Nyumba inapangishwa, Sinza Makaburini Dar es Salaam
1. Vyumba vitatu, sebule, dinning, jiko, store
2. Haina fence, haina tiles
3. Mtaa mzuri, wa pili kutoka main Shekilango road
4. Kodi...
Valentines Special Package at Tshs 60,000 per couple on 14th February.
The Package includes Welcoming Drink ,Romantic Lunch and accompanied first drink after lunch.
Direction: Kigamboni...
Tupo ubungo maeneo ya river side. tunatoa huduma za kudesign makava ya makasha ya CD/DVD. Pia tunaprint CD/DVD kwa bei nafuu. KWa wale wadau wa sherehe tutafutane. Pia tunashughulika na video...
Wakuu.
Nauza mahindi kiasi cha magunia 500 hivi, yapo mkoani. Bei sio chini ya Tshs. 40,000/= kwa gunia. Mwenye nia ya kununua anipm kwa maelezo zaidi. Pia waweza kupata hadi magunia 1000.
Huyu jamaa ni mkali wa ku design, logo tofauti tofauti anaetokea pande za Sinza.Ame design Logo mbalimbali za
1.WEUSI
2.B12
3.YOUNG KILLER
4.COUNTRY BOY
5.MABESTE
6.PANCHO
7.DARK MASTER
8.KANUMBA...
Jifunze kuogelea, upunguze kitambi na mafuta yaliyozidi mwilini. Tengeneza tambo sita(six packs). Na upunguze hatari ya kupata maradhi kama saratani, kisukari, uwezo mdogo wa kushiriki tendo la...
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa vikindu lipo umbali wa km 1 toka vikindu centre. Sifa barabara ya uhakika hadi shambani, mto usiokauka unapita katikati ya shamba. Eneo hilo tayari kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.