Tunauza mashuka, bed cover na pazia

Tunauza mashuka, bed cover na pazia

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
Tunauza shuka,bed cover na mapazia ya mtumba tupo Karume.

Piga or whatsupp 0718375766.
 
Mkuu kuna wauzaji wengi tu wa hivyo vitu pale Karume.Jitahidi basi kuwa tofauti na ufanye watu waje kwako na sio pengine

Weka picha mbili tatu za bidhaa yako

Weka bei elekezi

Ni ushauri tu mkuu wangu
 
Mkuu kuna wauzaji wengi tu wa hivyo vitu pale Karume.Jitahidi basi kuwa tofauti na ufanye watu waje kwako na sio pengine

Weka picha mbili tatu za bidhaa yako

Weka bei elekezi

Ni ushauri tu mkuu wangu


mwache asage lami
 
thanks the heby we kweli m2,punda haiwezi kukushauri ki2
 
Tunauza shuka,bed cover na mapazia ya mtumba tupo Karume.

Piga or whatsupp 0718375766.

kijana weka japo picha na bei ya kukadiria si unajua wengine kama ss ni wadau sana mm n nikitaka mapazia mitumba napiga ndefu mpaka mazesnse pale kuna wadau kibao kazi zao kukata mapazia usihau kule tandika kila siku wanakata mashuka kasoro jumapili basi jaribu kutishawishi kwa bei nzuri na picha pili karume ni kubwa braza tupe ramani sahihi tufike hapo achana na mambo ya simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom