Tablet PC, haina adapter for sale or exchange

Tablet PC, haina adapter for sale or exchange

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
Wakuu nina Hp slate 2 ni Tablet PC ambayo chaji yake imeharibika na nimejaribu kutafuta baadhi ya maduka nimekosa kwahiyo nauza(nipe ofa) au kubadilishana hata na simu au kama unajua duka linalouza adapter yake unaweza nisaidia.

Sifa zake ni Ram 2gb, 64gb hdd,8.9inch screen size.

Nicheki kwenye 0688206680.
 

Attachments

  • slate.jpg
    slate.jpg
    3.9 KB · Views: 177
  • slte 2.jpg
    slte 2.jpg
    4.7 KB · Views: 177
  • 190099-HP-Slate-30W-Power-Adapter-a.jpg
    190099-HP-Slate-30W-Power-Adapter-a.jpg
    25.6 KB · Views: 176
mzigo bado upo mwenye laki mbili anicheki
 
mzigo bado upo mwenye laki mbili anicheki

Acha mbwembwe kama wasira, umeambiwa uweke picha zake halisi na pia hujajibu swali kama ina sehemu ya kuweka line.
 
Kula 1k, pm me BMB5
 
Last edited by a moderator:
Picha hzo ina sehemu ya kuweka line,flash or modem

Power adapter yake ilikuwa ya watts 30? Je unauhakika tatizo ni adapter,kwani ni ngumu kuuza electronic items bila kuvijaribu
 
Yap mpaka mara ya mwisho naitumia ilikuwa poa kabisa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom