Printing services

Printing services

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Tupo ubungo maeneo ya river side. tunatoa huduma za kudesign makava ya makasha ya CD/DVD. Pia tunaprint CD/DVD kwa bei nafuu. KWa wale wadau wa sherehe tutafutane. Pia tunashughulika na video shooting kwenye masherehe mbalimbali. Kwa huduma na maelezo zaidi zaidi ni inbox. Gharama zetu ni poa sana
 
Ubungo riverside sehemu gani? njia ya kwenda kwa mchungaji lusekelo? njia ya kwenda makoka? njia ya kwenda ubungo maziwa? opposite na landmark? Riverside sehemu gani?

Halafu siku nyingine unatoa maelezo yaliyojitosheleza
 
Ndio maana nikasema kwa maelezo zaidi nitafute. Au sio
 
mnaprint nakuto makava kwa bei gani?
Tupo ubungo maeneo ya river side. tunatoa huduma za kudesign makava ya makasha ya CD/DVD. Pia tunaprint CD/DVD kwa bei nafuu. KWa wale wadau wa sherehe tutafutane. Pia tunashughulika na video shooting kwenye masherehe mbalimbali. Kwa huduma na maelezo zaidi zaidi ni inbox. Gharama zetu ni poa sana
 
mnaprint nakuto makava kwa bei gani?
Kwa bei reasonable kabisa. Inategemea na designing. Kama ni complex bei inaongezeka kidogo. Ila designing na printing kwa kava moja ni elfu 3. printing CD/DVD ni 1000/- Kuprint peke yake kama artwork umefanyia huko, kava ni buku na dvd ni 500
 
Nitakutafuta japo biashara yako unaifanya siri kama muuza bangi, hujatoa maelezo ya kina hata kuweka namba ya simu, au unakwepa kodi? unataka ufatwe pm kwani hii nayo siri?
 
Hahahaaa. Humu ni jf bana. Hakuna siri hapa. Kodi nalipa sana na biashara iko wazi na inajulikana. Karibu sana. Contacts nitatoa kwa PM tu.
 
wewe ni tapeli na ndiomaana unaficha. ulishamtapeli mtu hapa jukwaani na alikuja kukushtaki
Ndugu nitake radhi la sivyo utafungiwa milele kwa uhuni wako. Naomba umtaje niliyemtapeli la sivyo nawasiliana na wakubwa kwa maandishi yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom