brand new gas oven with grill, not used , Newworld, selling for 1.2m only, contact me 0685646786
mkuu Adoo hiyo bei yake ya 1.2M si ni bei ya kununua kiwanja/ shamba walau nusu heka pande za chanika au mbande?
ama kweli kila mbuzi atakula kulingana na nurefu wa kmaba yake, yaani nikatetekeze milioni moja na ushee kwenye jiko la kupikia chakula hiki ninachokula kila siku??? haiingii akilini katu.
600 unayonnua soda ni pesa ya kununua kilo ya unga mlo wa familia ya mtu siku nzima!
hiyo ni lugha ya picha. kitu unachoona si muhimu kwako kwa mwenzako ni muhimu mno.