Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Moja ya jambo ambalo linakuongezea maarifa mengi kulingana na uhitaji wako ni usomaji wa vitabu. Tumekuwa na programu za uchambuzi wa vitabu vya ardhi na majengo (real estate). Kitabu cha wiki...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Greetings mates. My name is Mayrah and I am writing to share with you a 2 days/1 night itinerary for you to visit Zanzibar this summer. This travel plan is only meant for a group of 5 Tanzanian...
3 Reactions
9 Replies
683 Views
Chumba Masta. Kodi Tsh 120,000 Eneo - Mbezi Beach, Makonde Ndani ya fensi, Maji ndani. Umbali wa kutembea. Umeme submita yake. Maelezo zaidi: 0679268006
0 Reactions
3 Replies
557 Views
Je unalipa bili kubwa ya umeme, ambayo unadhani inazidi matumizi yako? *Nafanya ukaguzi wa mifumo ya umeme kuangalia chanzo cha tatizo. *Nafanya marekebisho kuondoa tatizo *Lakini pia kama...
1 Reactions
2 Replies
378 Views
Biashara ya kununua na kuuza viwanja ni moja ya shughuli za kiuchumi zinazovutia watu wengi kutokana na faida zake kubwa. Hata hivyo, kuingia kwenye biashara hii kunahitaji mtaji wa kutosha na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
OFA! OFA! OFA! Karibu ujipatie hii set ya dining table na viti 6 Material: hardwood mninga Finishing kali sana, very quality Ipo tayar karibu kukagua na kulipia✅ 💰1,600,000/- 📍Kijitonyama...
3 Reactions
2 Replies
532 Views
Tunauza totebags,Laptop totebags and handbags Karibuni sana. Tshs.20,000. Rejareja Jumla 3-20 Pcs Tshs.15,000 20Pcs-50Pcs Tshs.13,500 50Pcs -100Pcs Tshs.13,000 100 Pcs na zaidi Tshs. 11,000...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Wakuu habar, kama kuna kijana anataka kufanya biashara ya viatu vya kike vya spesho,basi namkaribisha sana kwenye tasnia hii,niauzoefu wa kutosha, Najua changamoto zake, aina gani ya viatu...
3 Reactions
54 Replies
48K Views
Utangulizi. Ukuaji wa wakazi ni kipengele muhimu kinachoathiri maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya eneo lolote. Mbali na kuathiri miundombinu, huduma za kijamii, na soko la ajira, ukuaji wa...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Chumba Masta Sebule na Jiko. Kodi - Tsh 250,000 Eneo - Mbezi Beach Juu, Goba road. Ndani ya fensi parking ipo. Maji ndani. Umbali wa kutembea. Umeme submita yake. Maelezo zaidi: 0679268006
0 Reactions
2 Replies
529 Views
Plates 7.5 kg x 4 5kg x 4 2.5 kg x 4 Barbell 1.5 m Dumbbells bars x 2 Gharama 300k
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo...
0 Reactions
76 Replies
29K Views
Tuna hii sofa bed kali sana, ni ya kulipia na kubeba. Material: turkish, clean finishing 📍Kijitonyama Police 📞0628490035
1 Reactions
5 Replies
656 Views
Habari wana Jamii Forums, Nahitaji mlango wa chooni wa PVC ambao ni used kuna mtu anauhitaji haraka sana, kama unao tafadhali ni PM tufanye Biashara, mfano Wake Kama Huo.
1 Reactions
0 Replies
482 Views
Karibuni wadau nauza gari aina ya Toyota Rush (SERIOUS BUYER ONLY) Engine - Petrol 1491490 Seats - 5 Colour - Mid Night Silver Metallic Transimition - Manual Mileage - 103,000
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Umeme mdogo usikkwamishe shughuri zako.. Nafynga vifaa vitakavyoondoa tatizo hilo katika vifaa vyako 0785165877 Transistor
1 Reactions
1 Replies
306 Views
BSK basic computer application online. SWAHILI. Ninafundisha (online na offline) basic computer application/Microsoft office package kwa walio makazini na ambao hawako makazini (Mtu yoyote)...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA 1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO...
7 Reactions
115 Replies
5K Views
Naomba mwenye kujua bei ya Tanks hapo juu kwa Kigamboni anisaidie kujua. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
45K Views
Habari, mwezi ujao naenda kupata milioni 30. Vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela sasa hivi sina. Na hiyo hela sidhani kama nitaipata tena kama. Naombeni ushauri...
14 Reactions
114 Replies
5K Views
Back
Top Bottom