INAUZWA Eggs Incubators zinapatikana kwa bei nafuu

Urban86

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
279
129
ECO FARMS INNOVATIVES ni wasambazaji wa mashine za kisasa zenye ubora “Automatic” za kutotolesha vifaranga vya kuku, kwale, kanga, bata n.k. zenye ubora kwa bei nafuu.
Zipo za mayai 48, 96, 176, 264, 352, 528 na 1056.
Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo:
Ya mayai 48 ni 350,000
ya mayai 96 ni 700,000
ya mayai 176 ni 1,000,000
ya mayai 264 ni 1,250,000
ya mayai 352 ni 1,500,000
ya mayai 528 ni 2, 100,000
ya mayai 1056 ni 2,850,000
Faida za Mashine;
Zinatumia Umeme Kidogo-: toka 100W-200W
Machine zinatotoa zaidi ya asilimia 95% ya mayai yote. Kila machine ina tochi maalum ya kukagua uhai wa yai
Full Automatic– Zina mfumo wa ndani wa kugeuza mayai, kuthibiti Joto na Unyevu ndani ya mashine
Zinatunza joto kwa muda wa saa 5 baada ya umeme kukatika.
Mafunzo ya namna ya kutumia na ushauri ni bure kwa muda wa mwezi 1.

Tunapatikana: Mwananchi Relini-Mandela Road nyuma ya ukumbi wa Hepenon -Dar es salaam.
Simu: 0755 571604, 0718 106434, 0783095169 na 0656714 885

Karibuni sana.
2017-04-15_10.12.21.jpg
2017-04-15_10.18.06.jpg
2017-04-15_10.26.23.jpg
2017-04-15_10.37.37.jpg
2017-04-17_11.08.48.jpg
IMG_20170413_141439.jpg
IMG_20170413_151125.jpg
IMG_20170413_151455.jpg
IMG_20170413_155914.jpg
IMG_20170413_160355.jpg
IMG_20170413_160850.jpg
 
Hiyo mini incubator ya mayai 48 naihitaji. Lakini naomba kujua guarantee yake ni muda gani ?
 
Bei zetu mpya kwa sasa kama ifuatavyo:
Ya mayai 48 ni 350,000
ya mayai 96 ni 550,000
ya mayai 176 ni 900,000
ya mayai 264 ni 1,150,000
ya mayai 352 ni 1,400,000
ya mayai 528 ni 1,900,000
ya mayai 1056 ni 2,500,000
Faida za Mashine;
Zinatumia Umeme Kidogo-: toka 100W-200W
Machine zinatotoa zaidi ya asilimia 95% ya mayai yote. Kila machine ina tochi maalum ya kukagua uhai wa yai
Full Automatic– Zina mfumo wa ndani wa kugeuza mayai, kuthibiti Joto na Unyevu ndani ya mashine
Zinatunza joto kwa muda wa saa 5 baada ya umeme kukatika.
Mafunzo ya namna ya kutumia na ushauri ni bure kwa muda wa mwezi 1.

Tunapatikana: Mwananchi Relini-Mandela Road nyuma ya ukumbi wa Hepenon -Dar es salaam.
Simu: 0755 571604, 0718 106434, 0783095169 na 0656714 885 pia
facebook page: Eco Farms Innovatives instagram: ecofarmsinnovatives
Karibuni sana.[/QUOTE]
ECO FARMS INNOVATIVES ni wasambazaji wa mashine za kisasa zenye ubora “Automatic” za kutotolesha vifarangavya kuku, kwale, kanga, bata n.k. zenye ubora kwa bei nafuu.
Zipo za mayai 48, 96, 176, 264, 352, 528 na 1056.
Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo:
Ya mayai 48 ni 350,000
ya mayai 96 ni 700,000
ya mayai 176 ni 1,000,000
ya mayai 264 ni 1,250,000
ya mayai 352 ni 1,500,000
ya mayai 528 ni 2, 100,000
ya mayai 1056 ni 2,850,000
Faida za Mashine;
Zinatumia Umeme Kidogo-: toka 100W-200W
Machine zinatotoa zaidi ya asilimia 95% ya mayai yote. Kila machine ina tochi maalum ya kukagua uhai wa yai
Full Automatic– Zina mfumo wa ndani wa kugeuza mayai, kuthibiti Joto na Unyevu ndani ya mashine
Zinatunza joto kwa muda wa saa 5 baada ya umeme kukatika.
Mafunzo ya namna ya kutumia na ushauri ni bure kwa muda wa mwezi 1.

Tunapatikana: Mwananchi Relini-Mandela Road nyuma ya ukumbi wa Hepenon -Dar es salaam.
Simu: 0755 571604, 0718 106434, 0783095169 na 0656714 885 pia
facebook page: Eco Farms Innovatives instagram: ecofarmsinnovatives
Karibuni sana.
 
Mimi Nina friji kubwa ya milango miwili nikitaka kuibadilisha iwe incubator gharama zake itakuwa bei gani
 
Nahitaji kuchukua hiyo ya 350000 but ningeomba muuzaji uniambie mnanipa guarantee ya muda gani??naomba nijibiwe haraka tafadhali.
 
Back
Top Bottom