Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Baada ya kupitia changamoto za kimaisha na Biashara, sasa tumeinuka tena na tayari tumefungua ofisi zetu maeneo ya Ukonga Banana, mkabala na jengo jipya. Huduma zetu; SHERIA (WANASHERIA NA...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Utangulizi. Kuanza kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo imekuwa ni safari ndefu sana. Kwa wengine, imekuwa ni safari ya miaka mitatu. Kwa wengine, imekuwa safari ya miaka mitano. Na wengine...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari gani wakuu. Ninauza jiko la kuchomea nyama ni mpya kabisa. Unaweza kuchomea nyama ya ng'ombe, mbuzi au kuku. Linafaa kwa mgahawani, bar au hata barabarani kwasababu linabebeka. Bei yake...
0 Reactions
3 Replies
667 Views
Habari ndugu zangu. Poleni na majukumu. Ninauza meza 3 za ofisini, zote zimetengenezwa kwa mbao ni imara na zipo vizuri tu. Kuna mradi nilipaswa kufanya ila mambo yakaingiliana. Meza 2...
1 Reactions
7 Replies
650 Views
Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Basi zinauzwa Namba D Injini_Scania F310 Gearbox_scania ya gia 6 Mbele Disc brake Siti_52 Body_Gemilang malaysia Usb charging ports zipo Bei Tzsh 45,000,000/= kwa kila moja Matairi utanunua...
0 Reactions
2 Replies
693 Views
Make: Toyota Model: NOAH Model number: SR50 Body type: Station wagon Year of Manufacturer: 1999 Color: White Engine Capacity: cc 1990 Good Condition Android TV/Audio A/C Location: Dodoma Price...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Mafunzo huria ya kozi fupi ya electrical pamoja na electronics Nafundisha kozi zifuatazo,kwa wanafunzi wa vyuo na watu binafsi. 1.Introduction to electronics *Basic electronics in general...
4 Reactions
6 Replies
5K Views
MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Nyumba ipo kigamboni kisarawe 2 Nyumba ina Vyumba viwili Jiko Sebule kubwa Choo Maji Kodi ni 130,000 kwa mwezi Nachukua kodi ya miezi 3 Karibuni
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Pagale ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko, public toilet, dinning, sitting na store. Kiwanja ni 27*18 bei ni maelewano, Nyumba ipo Msomi! Boda 1000 kutoka Msumi center! Kama upo interested...
0 Reactions
9 Replies
778 Views
Locked to Airtel: 50,000 Universal (All Simcards) : 65,000 Brand New 10hrs Battery Life. Recharge bundles without removing simcard. Buy all 5 + 3Wingles for 180K Contact: 0693341234
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jipatie Drone aina ya KF 102 yenye sifa zifuatazo •HD 4K camera •2 axis Gimbal •1.2 kilometre flying range •25 minutes flight time per battery •5Ghz Wifi frequency transmission •Altitude hold...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Introduction: Baada ya kuona Monopoly kubwa ya Vingamuzi vya Kichina nimeamua kwenda moja kwa moja Dubai kuwaletea kitu chenye Quality na ambacho hautojuta kwa hela utakayoitoa. N:B Soma kwa...
5 Reactions
165 Replies
34K Views
Huduma zifuatazo njoo nikuongoze 1. Tin application 2. Line za wakala na za lipa 3. Usajili wa jina la biashara 4. Utengenezaji wa logo, poster, stika, busines cards na kuziprint 5. Uandishi...
1 Reactions
0 Replies
220 Views
Wakuu, Nina shida ya kiwanja kiwe kuanzia maeneo Maramba, Salasala kuelekea Bunju au Kibamba ila kusiwe ndani ndani sana.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…