Hello, ninauza simu tajwa hapo juu, haina tatizo lolote na ni original phone. Nimetumia muda mrefu(zaidi ya mwaka). Kama utavutiwa kuwa nayo pls sms kwenda 0755 78 34 20. Picha nitatuma kwa...
samsung R 70
ram 2gb
hdd 250gb
screen inch 15.4
bettery life 3 hours..
bei laki nne Maongez yapo..
ipo katika hali nzuri japo ni used..ukihitaj nichek 0672047940
waxup nichek nkutumie picha
Laptop hp inauzwa ipo katika hali nzuri na inakaa na charge hdd 160 gb,ram 2 gb,duo core,web cam ipo bei shs 270,000 kama upo interested ni chek 0716385824
bei tsh 200,000/=
aina: dell, d620
hdd 80gb
ram 2gb
core 2 duo
display 14.1 inches
condition: good condition
item available at ubungo, dsm
call 0714345958 or 0752858693
Habarii wakuu...nipo dar es salaam,nahitaji samsung note 3 used kutoka kwa mtu ila isiwe na matatizo ya kiufundi na iwe GENUINE...sihitaji CLONES .
#check wz me thru PM or 0714609907 tufanye...
Washikaji, Mie na jamaangu tumeanzisha Pub hapa Arusha Tumeiita Le Tshentemba Pub sasa tuna siku 10 toka tuanze. Hii ipo Nairobi Rd karibu na Police post na ofisi ya mtendaji kata mkabala na...
Wadau pikipiki tajwa hapo juu inauzwa
Ni piki nzuri size ya kati inayofaa sana kwa matumizi binafsi.
Bado iko order sana ingawa imetumika kwa matumiz binafsi.Bei ni milioni 2 (usishangae dukani...
Wadau pikipiki tajwa hapo juu inauzwa
Ni piki nzuri size ya kati inayofaa sana kwa matumizi binafsi.
Bado iko order sana ingawa imetumika kwa matumiz binafsi.Bei ni milioni 2 (usishangae dukani...
Learn at your place- History,Kiswahili,English,Civics,Geography&Biology
Learning at Your Place... Are you studying secondary education? Learn what you want, when you want, from where
you...
Happy valentine wakuu,
Ninauza Tablet Pc mbili mpya kabisa na orijino. Moja ina screen inch 7 kwa tsh 350,000 na nyingine
ina screen nchi 10 kwa tsh 400,000. Tablet zote...
Nyumba inauzwa IPO kongowe kwa Pius karibu na st Pius high school,nyumba ya mbele ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni self,sebule,jiko na stoo!pia ina nyumba ndogo ya uani ina vyumba vitatu...
Habari za jumapili wakuu?Nina uza king'amuzi changu cha star time kwa bei tajwa hapo.Kipo vema kabisa ndo natumia kila siku!.Sababu ya kuuza nataka niongezee fedha ninunue kile cha TIN kuna local...
Habari. Nahitaji toyota noah mbili zenye hali nzuri zisizosumbua na ambazo hazijawahi kugongwa wala kubadilishwa engine. Bajeti yangu 7 milion kila moja.
power bank aina ya parkman zikiwa na ukubwa wa mah(milli ampere hour) 10000 zikiwa na uwezo wa kuchaji simu za mkononi zinapatikana,na zikiwa katika rangi tofauti tofauti kama nyeupe,blue,pink na...