Pikipiki wave 110 inauzwa

Pikipiki wave 110 inauzwa

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Wadau pikipiki tajwa hapo juu inauzwa
Ni piki nzuri size ya kati inayofaa sana kwa matumizi binafsi.
Bado iko order sana ingawa imetumika kwa matumiz binafsi.Bei ni milioni 2 (usishangae dukani mpya top top mil 3.5 mpaka 3)
Imeshapata usajili wa namba mpya za MC
Kwa maelezo ya kitaalam yaliyokosekana unaweza kuwasiliana na huyu mhusika
0715369177...
Najitahidi kuapload picha ila bado zinakataa kama kuna mdau anahitaji kuiona kwa sasa anaweza kusms namba yake ktk namba tajwa hapo juu au anipm nitamtumia picha..karibu wadau pikipiki ipo dar vingunguti.
 

Attachments

  • 20150220_103528.jpg
    20150220_103528.jpg
    554.3 KB · Views: 128
  • 20150220_103444.jpg
    20150220_103444.jpg
    550.4 KB · Views: 108

Similar Discussions

Back
Top Bottom